Zipo habari kuwa mmoja wa viongozi wa upinzani anaewania urais kenya yupo Sauzi ya Afrika akitafuta saport kwa wakenya waishio nchini humo.Kiongozi huyo ametajwa kwa jina moja la Laila,sijui kama ni Odinga au Oginga.Waishio humo Afrika ya sauzi,tupe info.Tanzania kuna cha kujifunza kutoka kwa hawa jamaa na harakati zao kwenye siasa?