Kiongozi wa upinzani aondolewa bungeni kwa kusema 'Hakuna Rais Kenya'

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Kiongozi wa upinzani bungeni John Mbandi, aliondolewa bungeni na spika baada ya kusema Kenya haina rais

Mbandi alikuwa akichangia mjadala aliposema ''Ndugu Spika huu mjadala unaoendela unaeleza kama kuna rais na kuna matarajio kuwa kutakuwa na uteuzi utakaofanywa na rasi. Ndugu Spika jambo la msingi hapa ni kuwa hakuna rais nchi hii''

Spika wa Bunge, Justin Muturi alimuambia mbunge huyo kufuta kauli hiyo ama kuondoka bungeni akachagua kuondoka.

mbadi.jpg


========================================


National Assembly Minority leader John Mbadi was on Thursday morning ordered out of Parliament chambers for claiming that “there is no President in Kenya”.

Mbadi was contributing to a motion when he said, “Mr. Speaker this motion presupposes and anticipates that there will be some appointments from, the president. Mr Speaker the point is that there is no president in this country,”

Speaker Justin Muturi ordered the Suba South MP to either withdraw the statement or leave the chambers. He chose to leave.

The speaker used standing order 107 (2a) to order him to withdraw his remarks which states; “unparliamentary language means the use of words which, in the opinion of the person presiding, are deemed to be impolite, rude, abusive or inconsistent with parliamentary procedure or practice.”

“Honourable John Mbadi, I cannot engage in a discourse with you. You must withdraw your statement that there is no President in Kenya or withdraw from the chamber,” ordered Speaker Muturi.

In a quick rejoinder, Mbadi said, “Mr. Speaker I would rather withdraw from the chamber than withdraw from my statement, There is no president in Kenya,” said a defiant Mbadi.

There was further drama when the Speaker ordered Mbadi to leave immediately and not turn it into an occasion

“Honourable Mbadi this is not an occasion for shaking hands when you are ordered to withdraw from the chamber you are supposed to withdraw,” he said.

Parliament is expected to vote for the nine nominees to the East African Legislative Assembly (EALA) and constitute the committee on appointments which will vet cabinet secretaries once President Kenyatta unveils his second term line up before it adjourns and goes for recess.

Source: Citizen Tv
 
Let the stupid die for a dead king. Aondoke kabisaa hata na mshahara tunaomlipa sisi wakenya aususie kweli. Eti baada ya kusema hayo anaondoka akiwapa malofa wenzake ma'handshake', so 1965, this days people high five or fist bump.
 
Rais anakusanya kodi ili hawa walipwe mshahara, kama vipi wasusie na mishahara pia.
 
Rais anakusanya kodi ili hawa walipwe mshahara, kama vipi wasusie na mishahara pia.
Mkuu tutajionea mengi kwenye bunge hili. Sasa hivi kwa wingi walionao Jubilee hata wabunge wote wa NASA wakiondoka si ishu miswada inapita tu. Walikuwa wanauza sura sana kwa njia hii. Malofa wataondoka hadi kwa somasolt hivi karibuni wala hakuna yeyote atakaye'notice' vyuma vimekaza asee.
 
Watu wamechoka na Siasa huku Januari ikiwakondolea wakenya macho haswa walio na watoto wanoingia shule za upili, Siasa za kina Mbadi zimepitwa na wakati....hawa ndio tumbocrats si hata mliona vile wanawahadaa wana- wiper kwenye slots za PSC.
 
Back
Top Bottom