Kiongozi wa nje anapokuwa na kauri tata!

mpyonko

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
353
388
Nimejaribu kufuatilia baadhi ya kauri za rais nimeishia kusononeka tu.

Kauli zake zinavunja moyo zinakatisha tamaa na zinahuzunisha hata wale wanaoche anapotamka mbele yao hacheki kutoka moyoni.

Mfano,pale aliposema hatopeka chakula ng'o kwenye mikoa yenye njaa.

Najiuliza kwani anatumia pesa zake?
Kwann atamke vile?
Nini malengo yake.

Naishia kusema ni rais wa wanyonge gan huyu?

Binafsi napata shida kujua dhamira yake.

Inapotekea njaa wanaoathirika zaidi ni watu wa chini.
 
Back
Top Bottom