Kiongozi wa nchi kigeu geu je atatukomboa au uswahili tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa nchi kigeu geu je atatukomboa au uswahili tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Triple DDD, Jul 8, 2011.

 1. T

  Triple DDD Senior Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mitambo ya Dowans aka Richmond ilipokuwa inakuja Serikali ilifunga uwanja wa Ngd DAR ili kupisha

  mitambo ishuke na Rais wa nchi alionekana pale na koti lake kwenda kluilaki nak uwatangazia watanzania
  Tatizo la umeme litakuwa historia, Scandal ilipokuwakubwa akakana kwamba yy hahusiki na hawajui hao
  watu. Akamsikngia Lowasa ila Lowasa alitumuka tu kama kiongozi kama angekuwa yeyote. Juzi tumeshuhudia
  tena mitambo ile ile yule yule aliyeikana akiiuza kwa wamarekani kuficha ushahidi ilhali shitaka liko mahakamani.
  Baya zaidi kukubaliana na Hilary Clintony kwamba ni mipya na itazalisha umeme mkubwa.

  What the shame is this for CCm presida.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii habari tumeishaijadili sana humu jamvini!
   
 3. M

  MOSSAD II JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2013
  Joined: Apr 14, 2013
  Messages: 3,974
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwamba Kikwete ni kiongozi mswahili swahili?
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2013
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  kwamba Jk hajielewi!
   
 5. Kilaga

  Kilaga JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2013
  Joined: Feb 23, 2013
  Messages: 1,792
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Hilo la uswahili swahili halipingiki. Mswahili hawezi kubadilika, ni basi tu kwamba watu wameweza kufanya lobing wakafanikiwa. Hata Hayati Baba wa Taifa alilijua sana hilo ndiyo maana alikomaa nao waswahiliswahili hao. Anyway, Mola tuepushe na kikombe hiki tena!!!!!
   
 6. N

  Nikukumbushe JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2013
  Joined: Jun 4, 2013
  Messages: 2,603
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Lowasa aliwahi kusema kule Dodoma kuwa" mwenyekiti,ni jambo gani lililokuwa hulijui kuhusu Richmond" pia kauli ya Dr Mwakyembe bungeni alipokuwa anawasilisha ripoti ya uchunguzi wa Richmond alisema" tukiamua kuweka yote hadharani serikali serikali haitpona"
  my take: jk nae yumo kwenye Richmond sema waliamua kumtoa kafara Ndg Lowasa ili serikali ipone. Ndio maana mwl Nyerere alimkataa kwenye kinyang'anyiro cha Urais 1995 mwl alioona kuwa huyu mtu hafai.
   
 7. MAPUMA MIYOGA

  MAPUMA MIYOGA JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2013
  Joined: Jan 30, 2013
  Messages: 2,820
  Likes Received: 1,058
  Trophy Points: 280
  haswa??? Wala hujawaza vibaya.
   
Loading...