Kiongozi wa Mtaa kwa tiketi ya Chadema, Shinyanga ashikiliwa kwa ufujaji

Abdallah Omar Kigoda is a Tanzanian politician and a Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania.
Kigoda is thought to be behind many financial scams Tanzania has ever seen. Under former President Benjamin Mkapa, Kigoda as a member of inner sanctum made a lot of money thanks to being easily used by the regime and some Indian bogus investors.[citation needed]
He served for a time as Minister of State in the President's Office for Planning and Privatisation. He overwhelmingly won the Chama Cha Mapinduzi (CCM) nomination for Handeni constituency prior to the 2005 parliamentary election, receiving 1,216 votes while the nearest of his four opponents for the nomination received 94.[1]
Kigoda, Basil Pesambili, Juma Ngasongwa, Rostam Aziz, Lowassa the then PM and others are said to be behind EPA scam under which Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania's ruling party stole billions of shillings from the central bank to finance its elections that saw Jakaya Kikwete win

Nashukuru Kaka kwa maneno yako murua, mimi nimejitolea kuwasaidia Wananchi wa Simanjiro masikini wenzangu. wanafanya kazi za kulima karoti watoto weo wasome wanachanga pesa nyie mnachukuwa hizo pesa mnanulia magauni wake zenu hilo alikubariki

Unaonesha tigo hapa unazani watu wanatumia hiyo kitu? Peleka mombasa kama vp

Hawa ndio Chadema-kata badala ya kujibu hoja anajibu matusi

Nimekwambia kweli wala mimi sio cdm ni ubinadamu tu;uko uchi nisikwambie? Siyo mila zetu za kitz kukaa uchi hadharani. Kuwa ccm maana yake siyo na akili yako ipumbae ushindwe kutofautisha maadili mema na maadili maovu. Kukaa uchi hadharani kama ulivyo hapo haikubaliki

Nyumba bora inaanza na msingi imara kama mnaaza kutafuna michango ya wananchi saizi je mkichukuwa nchi itakuaje????

cCM wamejenga msingi upi kwa taifa? Katika kila Tsh100 serikali mafisadi wanatafuna sh30 hi inamana
1000 wanatafuna300
10000 " 3000
Na msururu unaendelea inamana katika bajeti ya mwaka 2010/2011 wametafuna trilioni3 kati ya 11 zilizotengwa kama bajeti.sasa we {Ritz= Riziwani k.} unataka utuambie Huo Ndo Msingi ambao CCM UMEUJENGA KWA AJILI YATAIFA LETU LIWE IMARA?

Ritizi ujamtaja jina,anaitwa Maranda na mwenzie,ni makada wa ukweli . Wamefungwa tayari

CDM is unqualified and batshit. CHADEMAS have proven their hypocrisy in Tanzania to be the "risky" choice.

Kama jinsi ambavyo sijawahi kuwauliza bata kwa nini hawakomi kuhara; hata hapa sitamwuuliza mtoa hoja ritz kwa nini anafanya kazi kama ya bata vile.

Hawa ndio Chadema-kata badala ya kujibu hoja anajibu matusi

Their iq is either below par or un competent and/or are in the state of paranoia because of the news and are now flabbergasted.

Kweli ndugu yangu wanawafanyia ufisadi Wananchi wa Simanjiro

Hii nadhani ni propaganda na sio ukweli kwani thread ina sema kiongozi wa mtaa yuko SHinyanga anashikiliwa kwa ufujaji wa fedha halafu tunarushwa na kupelekwa Simanjiro kwa tuhuma hizo hizo!! Hapa lazima kuna walakini ambao wana JF lazima tusiukubali!!

Mods mbona threads za habari za shutuma dhidi ya cdm mnazichakachuwa? kwa mfano hii ina vichwa vya habari viwili tofauti? Kulikoni? hampendi ukweli huku mnajidai hapa ndio
"where we dare to talk openly"?

Watanzania hawa Chadema ndio wanataka tuwape nchi, kama Fedha kidogo tu za mfuko wa Elimu wanafanya ufisadi je wakikamata wizara itakuaje si ndio itakua shamba la bibi wanavuna tu

Hata wewe mwenyewe umeona ajabu - maana si sera ya CHADEMA kuuboresha ufisadi. Ulitegemea kuona hiyo habari ikimhusu mwana Magamba, au siyo? Huyo ni mhalifu, hakutumwa na chama.

Kuna tofauti moja hapa: Kunaweza kukawa na wanachama wa CHADEMA wahalifu na wataadhibiwa wakithibitika ila kwa CHAMA CHA MAGAMBA (CCM) UFISADI NI SERA YAKE. Ndio maana kuna wezi na mafisadi waliothibitika mahakama -za ndani na nje ya nchi - ni wajumbe wa Kamati Kuu ya Taifa (sio ya kijiji) ya Chama Cha Magamba.

Hii nadhani ni propaganda na sio ukweli kwani thread ina sema kiongozi wa mtaa yuko SHinyanga anashikiliwa kwa ufujaji wa fedha halafu tunarushwa na kupelekwa Simanjiro kwa tuhuma hizo hizo!! Hapa lazima kuna walakini ambao wana JF lazima tusiukubali!!

Mwache tu huyu mzushi. Atatunga uongo hadi ajikamatishe mwenyewe. Hawa wana Magamba memory yao ni fupi sana - si unakumbuka walipopewa "list of shame" waling'aka "Slaa muongo" na wakataa hakuna ufisadi huku wakijadai kumfikisha mahakamani? Kiko wapi leo? Ati wanajiita wapiga vita ufisadi!

Mods mbona threads za habari za shutuma dhidi ya cdm mnazichakachuwa? kwa mfano hii ina vichwa vya habari viwili tofauti? Kulikoni? hampendi ukweli huku mnajidai hapa ndio

"where we dare to talk openly"?

MamA mkwe wako MalARIA sUGU YUPO LIKIZO NAONA KAKUACHIA KIGAUNI CHAKE ILA HATA AKIKUPENDEZI,NENDA FBUK.

Back
Top Bottom