Kiongozi wa Mashtaka ya mahakama ya kimataifa ICC,asema Uhuru hana makosa!

Laiser James

Member
Dec 5, 2013
77
0
Kiongozi wa mashtaka ktk mahakama ya kimataifa Binsouda amesema kuwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya hana makosa ya kutosha kumtia hatiani na kuwashauri waendesha mashitaka wa mahakama hiyo kuahirisha kesi hadi hapo watakapoenda kukusanya ushahidi wa kutosha.

Source; BBC swahili habari saa3 usiku.
 
ONDIECK OTOYO

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
254
0
huyu mama kasha kula bora swala hili angeachiwa okampo kumbuka uhuru ndiye kiongozi mkuu wa mngiki na ndiye mfadhili wao chanzo cha mongiki ni mao mao chama cha babake wakatoka hapo wakajiita 42brothers na baadaye wakajiita mongiki ni kweli maskini awezi kupata haki ya kishi mbele ya matajiri
 
rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
2,812
2,000
Ama umesikia vibaya au wewe ni kilaza. Amesema hivi "kwakuwa mashahidi muhimu walijitoa naomba mahakama ihailoshe kesi kwa muda mpaka atakapppata mashahidi wengine"
 
Fenento

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
320
225
huyu mama kasha kula bora swala hili angeachiwa okampo kumbuka uhuru ndiye kiongozi mkuu wa mngiki na ndiye mfadhili wao chanzo cha mongiki ni mao mao chama cha babake wakatoka hapo wakajiita 42brothers na baadaye wakajiita mongiki ni kweli maskini awezi kupata haki ya kishi mbele ya matajiri

Mngiki achana nao kabisa, wanaroho mbaya kama nini wanaweza kukufanyizia hata mchana. Kama jamaa yupo nyuma yao basi Kenya ni sehemu hatari sana kiusalama.
 
ilboru1995

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,329
0
Credibility ya hiyo mahakama yenye kuwatarget viongozi wa kiafrica iko wapi? Naunga mkono hoja ya kujitoa! Walioanzisha na kufadhili mauaji ya Iraq, Libya, Syria kwanini hawachukuliwi hatua?
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
huyu mama kasha kula bora swala hili angeachiwa okampo kumbuka uhuru ndiye kiongozi mkuu wa mngiki na ndiye mfadhili wao chanzo cha mongiki ni mao mao chama cha babake wakatoka hapo wakajiita 42brothers na baadaye wakajiita mongiki ni kweli maskini awezi kupata haki ya kishi mbele ya matajiri

hawa ndio waafrica na mambo ya hovyo hovyo..huyo mama hana tofauti na salim A salim.Ndio maana wenzetu huwa hawatuamini.Mwishowe tunarudi ktk upuuzi wetu kuwa tumeabaguliwa.
 
Galamtogela

Senior Member
Aug 25, 2013
101
195
Ama umesikia vibaya au wewe ni kilaza. Amesema hivi "kwakuwa mashahidi muhimu walijitoa naomba mahakama ihailoshe kesi kwa muda mpaka atakapppata mashahidi wengine"

mkuu jamaa anatudanganya ameripoti tofauti .binafsi nimewaelewa vizuri Bbc binsouda kasema kwamba bado hajathibitisha kama Rais uhuru anamakosa
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,532
2,000
Ama umesikia vibaya au wewe ni kilaza. Amesema hivi "kwakuwa mashahidi muhimu walijitoa naomba mahakama ihailoshe kesi kwa muda mpaka atakapppata mashahidi wengine"

Sasa hiyo maana yake si kesi hakuna au ..
 
Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,596
2,000
Kama ushahidi wa kutosha haukukusanywa kabla Uhuru hajawa rahisi, wataweza kuukusanya sasa hivi wakati amekalia kiti? Hapo waandike msumivu.

Tiba
 
kotundia

Member
Jul 4, 2013
67
0
Mkumbuke hiyo ni jinai ushahidi unatakiwa usiwe na shaka ndo maana kama ushahidi ukisumbua hapo hakuna kesi na wala siyo kazi ya binsouda kulazimisha watu watoe ushahidi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom