Kiongozi wa machifu Tanzania ataka Serikali iwatambue rasmi machifu

Kilembwe

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
1,620
2,000
Dar
Mfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
ni ya wazaramo , Chief atatoka uzaramoni huko kwa kina Kingwendu
Acha ujinga ,
Hao Babu zako ni jamii ya watu waliochoka kimaisha,hivyo wananua kuwa hiyo unaweza kuwa sehemu ya kujipatia kipato
Asante kwa tusi, ungeweza kunijibu haa bila kunitukana...lakini ujue sio kila Chifu amechoka kinamaisha kama unavyofikiri..machifu wengi wana mali za kutosha sio hela in physical currency bali assets! mfano machifu wa usukumani wengi wao ni matajiri wa ng'ombe!
Acha ujinga ,
Hao Babu zako ni jamii ya watu waliochoka kimaisha,hivyo wananua kuwa hiyo unaweza kuwa sehemu ya kujipatia kipato
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom