Kiongozi wa Kiroho Mhm Kr Pengo aionya serikali ya Mkweere!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa Kiroho Mhm Kr Pengo aionya serikali ya Mkweere!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 13, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,816
  Trophy Points: 280
  Ametaka serikali kushughulikia tatizo la ufisadi! Amesema serikali yoyote ile inayonyenyekea watu wachacha kwa gharama ya wengi ni ya kisaliti!

  Chanzo ITV!
   
 2. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Huwa mimi nakerwa sana na tabia ya viongozi wa dini kuharibu ibada kanisani wakati wa mahubiri. Utakuta wana anza kuhubiri maswala ya siasa badala ya kutoa mahubiri ya kiroho.

  Ila siku ukisikia Tanzania imejiunga na OIC, nitakuunga mkono kama ukilalamika.
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,816
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Unajifunza nini kutokana na hali hiyo na nini kifanyike ili kuondokana nayo!!
   
 4. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kwani uongo, Kikwete anauleya huu ugonjwa kwa kuwa yeye mwenye ni Fisadi. Huyu Mkwe...re asifike 2015 aswekwe ndani akanyee debe
   
 5. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  viongozi wetu wa dini wanasukumwa na udini huyu pengo wakati wa alikuwa wapi? na leo anataka kutueleza nini? atambae mbele...
   
 6. nkasoukumu

  nkasoukumu JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  viongozi wa dini msikemee maovu, wananchi, ( waumini) hawa pendi, but natoa rai tufanye mapinduzi ya elimu kabla ya kilimo, tufute ukungu vichwani mwa watanzania, napia naomba waislamu wapewe elimu bure, kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu, ahsanteni
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Join Date : 12th August 2011
  Posts : 111
  Rep Power : 21


  Matatizo ya kushinda na njaa, bado siku ngapi?
   
 8. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wakati wa mkapa haku ongea. jamani mfumoooo!!!
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  pengo umenena. kauli kaitoa wakati muafaka.kazi ya viongozi wa dini sii kuhubiri tu dini bali kukemea maovu.saa mnamshambulia kwa nn kwani kasema uongo? tatizo la watanzania ni kupinga kila kitu.wasipokemea wao nani sasa akemee?
   
 10. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,816
  Trophy Points: 280
  Nasubiri kauli ya Maimamu!
   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,511
  Likes Received: 5,628
  Trophy Points: 280
  habari kamili someni mwananchi,kama kanisa linataka mafisadi wachukuliwe hatua kwani limebagua hao mafisadi kwa dini zao?kama mkapa nae fisadi achukuliwe hatua! Pengo hajasema waislamu tu waadhibiwe jamani!
   
 12. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,511
  Likes Received: 5,628
  Trophy Points: 280
  serikali inaendekeza na kuchochea udini usiokuwepo kwa malengo maalum,itatugharimu!tunaacha hoja tunaingiza mtazamo udini! What wrong with this country? Itatugharimu watanzania lazima tujisahihishe.
   
Loading...