Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Huwa najiuliza mama yake na MTU ujisiakiaje pale mwanawe anaposhiriki uovu kuwaumiza watoto wa wanawake wenzake. Au anaaogopa kunyimwa huduma. Mwanamke ndo kaibeba dunia, na mwanamke yeyeto akizembea kwenye malezi ameuwa ameharibu dunia. Si Baraka kuwa na mtoto mwenye laana ya kuumiza wenzake
 
Tunapitia kwenye Zama za Giza ndugu,Magazeti Kama RaiaMwema siku hata ladha imeisha!
Lakini ni mapito,tu Mungu anatufundisha kitu!
Jf kulikuwa na mtu anaitwa Mwanakijiji!Siku hizi Mwanakijiji waJf anaandika nyuzi za ..
Kuchakaa kwa mimbari ya JPM🤣😂🤣😂

Nina miaka 4 sijawahi nunua gazeti Maana yanachuja sana habari uipati ladha halisi kama zamani.Naamini ktk mitandao huku unachuja mwenyewe .
 
Subiri SADC ipite, itawekwa wazi tuu.
Nimekaa nasubiri mwisho wa muvi toka 12/08/2019. Nikagundua kuwa kumbe hata Hollywood na Bollywood, kuna muvi hazinaga sterling.. hivyo kampuni za uuzaji zinalazimika kulazimisha sterling ambaye during the action alikuwa defeated in some %.

Watu wamecomment kadri ya uwezo wao!! Lakini Office bado inafanya kazi.
 
Watanzania hawapendi hawataki hawakuzoea Uonevu ndiyo maana hii mada wamekomaa nayo ili kikundi cha akina cyprian musiba na Boss zake waache njama za kuwadhuru wapinzani kisha kutengeneza propaganda za kuwasingizia chadema.

Watanzania twafahamiana kitabia,kisura,ki DNA sema hii mijitu yenye sura panapana toka nchi Jirani ndio inatuharibia utanzania wetu mijitu haijulikani hata Asili yao hatuoni biological father zao mfano baba wadogo,au wakubwa au shangazi zao hawajulikani hata tabia si za kitz.Tunapwaya sana kuna mmoja akiwa waziri ndie chanzo cha kuuwa elimu yetu Kwa faida ya Jirani zetu wakajazwa ndugu zake kila kampuni kubwa za nje Kwa kigezo cha usomi.Hivi kwann tusiwe tukichunguza Asili ya MTU vizazi hata vitano hivi ili tupate watz halisi kuliko mapandikizi yatuharibiayo utz wetu wanahubiri Amani huku wameshika mapanga.
 
Umenena vema sana hasa hapo mwisho mkuu lakini naomba kuuliza kitu mkuu hivi wakati wa kufanya recruitment ya watu wa idara kwa mfano je,muhusika hapewi room ya kuhoji mambo anayotilia shaka kwenye hiyo kazi?.Hivi mtu mwenye hofu ya Mungu moyoni mwake kwa mfano anaweza kukubali kujiingiza kwenye kazi yenye mazingira ya kuamrishwa bila kuhoji?

Huwezi shiriki uovu ukijua huku ukiomba Mungu akunusuru.Nafsi imeumbwa na hatia
 
Yupo hai ila hata pampa inashindikana, ni wakuzolewa hapohapo, huyu kweli analipa ubaya wote hapahapa.

Wacha ateseke duniani na motoni anasubiriwa,walizoea si kila koo imelala damu ya ndugu yao ipotee hivi hivi.Si umecheki wale waliouwa wale wa madini toka Mahenge kisha wakasingizia ni majambazi kilichowapata mwingine keshapewa hukumu ya kufukuzwa duniani Kwa kunyongwa hadi kufa zombi anaweseka weweseka tu siku hizi.
 
John Nyulingo mbona mgumu kumeza? haiba yake km mhudumu wa mgambo? hawezi kuwa wasiojulikana wanaotembea na mabulungutu ambayo hawahongeki, roho mbaya wao ni kimaliza tu
Halafu linganisha na ya Nyaulingo ambao hata Dr Ulimboka aliwataja tangu awamu ya 4



Huyu nilisomanae na tulishi jirani anaitwa John Nyulingo dio Edward Nyaulingo au kabadili jina?

Screenshot_2019-08-18-10-58-22.jpeg
Screenshot_2019-08-18-10-23-21.jpeg
 
CCM wanatuzuga sana Watanzania
Yule juzi kadanganya eti marais wa Angola,Namibia,DRC n.k hawatakuja kwenye SADC.Kaumbuka maana marais wamekuja. Wakadanganya eti Nyaulingo kafa ilhali yupo hai. Huyu Kigogo,Chahali hakuna wanalolijua.Ni waongo hawa acha kabisa.
[/QUOTE]
Vick ndugu yako rafiki yako nyaulingo hajafa lakini bado hali yake siyo nzuri jicho moja limeharibika miguu yote imevujika anaweza kuwa hai lakini maumivu kama akiyoyapata Tundu Lisu na yy kayapata sasa,
 
Sisi Raia wa kawaida hatujali nani kapatwa na nini huko kwenye vitengo vya siri.

Sisi lengo letu ni kuona utawala wa sheria unaheshimiwa sio haya mauaji bila ya kufikishwa mahakamani

Kama Lissu alisema Dikteta uchawara si angefikishwa kwenywe vyombo vya Sheria ila sio kumpiga Risasi takriban ishirini ili afe.
 
Back
Top Bottom