Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Yaani kwa akili zako unategemea kuna mtu wa kupoteza muda kukushawishi uamini?

Kama huyo Nyaulingo hajapata ajali ajitokeze basi kukanusha. It is that simple! Otherwise, you fools need to shut the f*ck up!

Yaani wewe unazidi kupotea.

Waokota hivyo vineno vya wazungu wajinga wa mitaani huko Glasgow (crack heads) na kisha wayaleta hapa JF!

Hakuna kingine cha mbolea ulichojifunza.

Nakuuliza tena wamkumbuka yule "handler" wako na huwa wamkumbuka kwa vijisenti hata elfu 20 ?
 
Masenaries wazuri kwa Afrika wanatoka Libya,Niger,Darfur na South Africa

Ukitaka pindua tawala hao ndio kazi zao

Ukiwa na budget nzuri wasiliana na blackwater USA ni security contractor wazuri sana wana state of art eqpts
Hakuna ma contractors nyoko kama hao BlackWaters...nafkiri watakuwa wanahusika na yale ya Libya...maana hapo hufanya fronting nyingi za US. Na unaweza kuta body of directors yote ni Army Generals and CIAs
 
Tatizo kubwa linaloikabili Idara ni uwepo wa vichwapanzi kama ninyi. Tangu habari ya Nyaulingo ilipoanza kusambaa mmeshindwa kabisa kuwa na consolidated strategy ya kudili nayo. Wengi wenu mnakimbilia kuhangaika na messengers badala ya message. Huku baadhi yenu mnakiri "anakuwa discharged" which indirectly ina-prove kuwa something did indeed happen to him, wengine are trying to refute the whole story.

Hiyo profession haiitwi INTELLIGENCE kama urembo. It means using INTELLIGENCE as in AKILI. Unfortunately most of you have none.

Mmefeli sana katika hii issue kwa sababu this is information warfare, the winners are ones who could make a particular story go viral regardless of ukweli/uongo wake.

Ujumbe ambao sio tu umefika bali pia umesambaa ni huu: PEOPLE HATE YOU IDIOTS WITH PASSION. No wonder most wanawaombea majanga. It's a wake-up call. Mbadilike. Tumikieni taifa badala ya mtu.
Mkuu chahali umeshamaliza kila kitu na sisi tusiokuwa na akili kubwa tumekuelewa, nimekuelewa.
 
Mhhhhh!!!
Why usirudi kitengoni ukatumie hizo akili?

Expectation is your worse enemy for sure!!!!
Tatizo kubwa linaloikabili Idara ni uwepo wa vichwapanzi kama ninyi. Tangu habari ya Nyaulingo ilipoanza kusambaa mmeshindwa kabisa kuwa na consolidated strategy ya kudili nayo. Wengi wenu mnakimbilia kuhangaika na messengers badala ya message. Huku baadhi yenu mnakiri "anakuwa discharged" which indirectly ina-prove kuwa something did indeed happen to him, wengine are trying to refute the whole story.

Hiyo profession haiitwi INTELLIGENCE kama urembo. It means using INTELLIGENCE as in AKILI. Unfortunately most of you have none.

Mmefeli sana katika hii issue kwa sababu this is information warfare, the winners are ones who could make a particular story go viral regardless of ukweli/uongo wake.

Ujumbe ambao sio tu umefika bali pia umesambaa ni huu: PEOPLE HATE YOU IDIOTS WITH PASSION. No wonder most wanawaombea majanga. It's a wake-up call. Mbadilike. Tumikieni taifa badala ya mtu.
 
Yaani kwa akili zako unategemea kuna mtu wa kupoteza muda kukushawishi uamini?

Kama huyo Nyaulingo hajapata ajali ajitokeze basi kukanusha. It is that simple! Otherwise, you fools need to shut the f*ck up!
Huu mkwara Wa kipuuzi sana aisee!
Namkumbuka mwehu mmoja wakati Wa uchaguzi mkuu 2015 alizusha cdf amekufa akakamatwa akapelekwa mahakamani akakomaa kuwa kama hajafa ajitokeze na wehu wenzie wakawa wanamjaza humu ndani as if cdf ndio anampa ugali...
Mwisho Wa siku cdf akatokezea siku kadhaa wakati Wa kuapishwa rais mkabaki kimya mpaka leo....
Haikutosha mlisadikisha watu humu eti rais Wa awamu ya tatu amejipiga risasi akajiua wakati akilazimisha wapinzani wakatae matokeo, mkasambaza habari kama moto wa petroli wenye kutumia akili zetu tukawatizama tu, siku ya kuapishwa rais ikulu mzee Wa awamu ya tatu akatokezea mkabaki mdomo wazi mkajifanya sio nyie mliosambaza upupu...

Kuna mambo mnazusha sana mnahisi wengine hawana critical thinking wote ni nyumbu migrant tu!!!
 
hajafa. ila kapata ajali.

224 Reactions
Reply
Back
Top Bottom