Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,764
Tatizo kubwa linaloikabili Idara ni uwepo wa vichwapanzi kama ninyi. Tangu habari ya Nyaulingo ilipoanza kusambaa mmeshindwa kabisa kuwa na consolidated strategy ya kudili nayo. Wengi wenu mnakimbilia kuhangaika na messengers badala ya message. Huku baadhi yenu mnakiri "anakuwa discharged" which indirectly ina-prove kuwa something did indeed happen to him, wengine are trying to refute the whole story.Kupata ajali siyo kitu cha ajabu.But the good news yuko fit hayo ya kuvunjika miguu ohooo kafa ni kelele za wajinga wachache.By the way wewe umekua kitengoni so sijui nin kigeni kwako mpk ushadadie huo upupu
Hiyo profession haiitwi INTELLIGENCE kama urembo. It means using INTELLIGENCE as in AKILI. Unfortunately most of you have none.
Mmefeli sana katika hii issue kwa sababu this is information warfare, the winners are ones who could make a particular story go viral regardless of ukweli/uongo wake.
Ujumbe ambao sio tu umefika bali pia umesambaa ni huu: PEOPLE HATE YOU IDIOTS WITH PASSION. No wonder most wanawaombea majanga. It's a wake-up call. Mbadilike. Tumikieni taifa badala ya mtu.