Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Hahaha naona Bujibuji ukweli unachoma moyo kama mkuki, hahaha, mna hangaika mno. Utendaji wa serikali ya awamu ya tano umewapagawisha kinoma, poleni. Ila ndiyo hivyo, Dkt Magufuli ni rais wa mioyoni mwa watanzania mpaka 2025, na tukiona vipi tutaandamana ili aongezewe mingine mitano
Hivi wachawi wameanza kuwanga mchana

Eeh wanajiamini

Cc Bujibuji
 
Uzi unapoteza uhalali sasa kwañi picha zinazomwagwa humu ni za Diwani M Mringo hajawahi kuwa mnaa, na kwa kina Nyaulingo hapa jirani Makole hamna dalili wala mshtuko wa kuuguza, wekeni picha hata ajali au hizo magazine, kuuhalalisha uzi la sivyo ni ushabiki wa kisiasa ma si wa kiJF
M

Muongo mkuubwa Mkuu, Nyaulingo ni mhehe na Mringo Mpare mfanyabiashara wa migahawa na shughuli nyingine, former Diwani, Nyaulingo ni hivyohivyo asiyejurikana!!!
Nyai
 
membe alikuwa chaguo la wahindi
Na mafisadi

Tiss haijwahi kusimama na huyo mzee asiye jua anataka nini
Membe ndio chaguo la TISS toka 2015...hili hata JPM nalijua.. na ndio maana ameunda makundi huko, ili kudhoofisha baadhi ya makundi, na alianza kwa kuwatawanya wote walio ikulu..

Note: Mimi sio tiss wala informer haya niliyasikiaga huko bar... maana ma informer wa humu wa jinga sana, wanapenda sana kutumiana pm za kujidai mademu ili mtu aingie kingi
 
Uzi unapoteza uhalali sasa kwañi picha zinazomwagwa humu ni za Diwani M Mringo hajawahi kuwa mnaa, na kwa kina Nyaulingo hapa jirani Makole hamna dalili wala mshtuko wa kuuguza, wekeni picha hata ajali au hizo magazine, kuuhalalisha uzi la sivyo ni ushabiki wa kisiasa ma si wa kiJF Nyai
Diwani mringo mzee Wa vyupaazz
Jf attchmnt wanachemsha wanaweka picha tofauti unaoendana na uzi inayoletwa
Paw

Ova
 
Naam,

Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo.

Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney.

Inadaiwa huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania.

Inavyoelezwa, ni beyond repair labda apelekwe ng’ambo. Akipelekwa huko pia tutawadondoshea kinachozidi kumkuta.

Ni siku chache kabla ya kurejea kwa Bwana T L.

Kumbuka, bwana mwingine almaarufu ‘Makichwa’ alikutana na ‘Mkono wa Bwana’ akanyakuliwa wakati Boss Kubwa akiwa ziarani Mbeya. Makichwa anadaiwa kuwa ndiye alikuwa ‘mashine ya kazi’.

Eid Mubarak
Unamwambia nani sasa? Na ili iweje?
 
Hahaha 😆😆😅

Chunguza vizuri hii ID ya Mikocheni Junction uniambie umegundua nini.....

Screenshot_20190814-133711_Chrome.jpg
 
Mzagila mwanyaulingo mhehe wa Nyabula is alive & well.Huyu ni mhehe mwenzetu Iringa ameaga.Bahati mbaya wapashaji hbr wenu wanawapotosha hana Fracture yoyote ready to be discharged home.
huenda kuna kaukweli hapo lkn mbona picha nyingine inatembea? hizi siasa zitaharibu Jukwaa la Siasa
 
Back
Top Bottom