Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,056
This is a big joke mkuuMringo ni jina la mtaani ni jina bandia lakini jina lake halisi ni nyaulingo
This is a big joke mkuuMringo ni jina la mtaani ni jina bandia lakini jina lake halisi ni nyaulingo
Then next upupu wetu lazima umtoeMzagila mwanyaulingo mhehe wa Nyabula is alive & well.Huyu ni mhehe mwenzetu Iringa ameaga.Bahati mbaya wapashaji hbr wenu wanawapotosha hana Fracture yoyote ready to be discharged home.
Wenye dhamana kwenye utawala huu wameitumia fursa za vitisho toka juu,blackmail zinatumika kwa kiwango cha kutisha siku magufuli akizinduka aanze kuwachunguza wasaidizi wake nina imani atazimia kwa mshangao wa mali zaoHakunaa mteule wa JIWE ambaye kachoka Huyo Mnyeti ni Bilionea wa hatari ana fedha kama MCHANGA fuatilia mkuu utaniambia,Utajiri wao wanaupata kutoka kwa wafanyabiashara kwa kuwablackmail na pia kuwafavor/kuwakingia kifua wafanye biashara smooth.
This is a big joke mkuu
Anatuconfuse zaidi huyu sijui katumwa kwa kuwa ni wale wale au ameamua kuchanganya watuMringo ni jina la mtaani ni jina bandia lakini jina lake halisi ni nyaulingo
Unajichanganya mwenyewe jiongeze usiwashirikishe wala kuwasemea wengine Akili ni nywele kila mmoja ana zakeAnatuconfuse zaidi huyu sijui katumwa kwa kuwa ni wale wale au ameamua kuchanganya watu
Mfano Mathias kipara na wakudadavuwa
Jikite kwenye mada kifo cha mnyamaHahaha naona Bujibuji ukweli unachoma moyo kama mkuki, hahaha, mna hangaika mno. Utendaji wa serikali ya awamu ya tano umewapagawisha kinoma, poleni. Ila ndiyo hivyo, Dkt Magufuli ni rais wa mioyoni mwa watanzania mpaka 2025, na tukiona vipi tutaandamana ili aongezewe mingine mitano
Muongo mkuubwa Mkuu, Nyaulingo ni mhehe na Mringo Mpare mfanyabiashara wa migahawa na shughuli nyingine, former Diwani, Nyaulingo ni hivyohivyo asiyejurikana!!!Mringo ni jina la mtaani ni jina bandia lakini jina lake halisi ni nyaulingo
Jina la ccm kufa sio tatizo hata kama wewe utachukia utakuwa unajichosha tu. Muhimu ni kwamba sera za ccm zinaendana na mazingira ya sasa haiwezekani chama chá kudaiCcm ikifa si ndio furaha yenu?,unakonda nini wewe kapuku,au ndio hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi?
😅😅😅😅😅Ongeza volume kidogo.
Kwa nn walitukanwa
chusikute unaifanya katika misingi hiyo hiyo ya kugoma
Ndiye huyo huyo, kwa sasa ni DSO huko kaskazini.Ha ha ha mkuu hv uyu kipara ndo yule alikua raisi udsm ??
Hahaha nmecheka kifala😃😃😃😃 eagle wings ya chumbani mwangu ... pako poa nipo na Aisha mweupe tunafanya yetu, tuongeze nguvu kazi...
Mie na Aisha tunakulana mate yetu tu, hatujui hizo chai ma maandazi 😃😃😊
Mi siwaogopiAlafu kwenye hii thread ukipost comment, ukiona imepata like nyingi sana, usishangae ukaanza kutafutwa na wasio julikana... ujue umepiga pa kweli kweli wakati wenzako walifikiri utani utani
Umekunywa chai mzee ?Nchi hii ya JF ambayo hata humu tu kuna watu hawaelewi au nchi ipi unaongelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umecheka kijasusiHahaha nmecheka kifala