Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Hakunaa mteule wa JIWE ambaye kachoka Huyo Mnyeti ni Bilionea wa hatari ana fedha kama MCHANGA fuatilia mkuu utaniambia,Utajiri wao wanaupata kutoka kwa wafanyabiashara kwa kuwablackmail na pia kuwafavor/kuwakingia kifua wafanye biashara smooth.
Wenye dhamana kwenye utawala huu wameitumia fursa za vitisho toka juu,blackmail zinatumika kwa kiwango cha kutisha siku magufuli akizinduka aanze kuwachunguza wasaidizi wake nina imani atazimia kwa mshangao wa mali zao
 
Back
Top Bottom