Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Yaani kwa akili zako unategemea kuna mtu wa kupoteza muda kukushawishi uamini?

Kama huyo Nyaulingo hajapata ajali ajitokeze basi kukanusha. It is that simple! Otherwise, you fools need to shut the f*ck up!
Kupata ajali siyo kitu cha ajabu.But the good news yuko fit hayo ya kuvunjika miguu ohooo kafa ni kelele za wajinga wachache.By the way wewe umekua kitengoni so sijui nin kigeni kwako mpk ushadadie huo upupu
 
Malipo ni hapa hapa....
Naam,

Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo.

Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney.

Inadaiwa huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania.

Inavyoelezwa, ni beyond repair labda apelekwe ng’ambo. Akipelekwa huko pia tutawadondoshea kinachozidi kumkuta.

Ni siku chache kabla ya kurejea kwa Bwana T L.

Kumbuka, bwana mwingine almaarufu ‘Makichwa’ alikutana na ‘Mkono wa Bwana’ akanyakuliwa wakati Boss Kubwa akiwa ziarani Mbeya. Makichwa anadaiwa kuwa ndiye alikuwa ‘mashine ya kazi’.

Eid Mubarak
 
Kupata ajali siyo kitu cha ajabu.But the good news yuko fit hayo ya kuvunjika miguu ohooo kafa ni kelele za wajinga wachache.By the way wewe umekua kitengoni so sijui nin kigeni kwako mpk ushadadie huo upupu
Mkuu kwani huyo aliyepata ajali ametajwa jina?
 
Kupata ajali siyo kitu cha ajabu.But the good news yuko fit hayo ya kuvunjika miguu ohooo kafa ni kelele za wajinga wachache.By the way wewe umekua kitengoni so sijui nin kigeni kwako mpk ushadadie huo upupu
Umeulizwa utoe ufafanuzi? Naona mnaweza kuupoteza mwili wake kama mlivyopoteza ya wengine. The good news he is no more and some of you will follow God's wrath.
 
Kupata ajali siyo kitu cha ajabu.But the good news yuko fit hayo ya kuvunjika miguu ohooo kafa ni kelele za wajinga wachache.By the way wewe umekua kitengoni so sijui nin kigeni kwako mpk ushadadie huo upupu

Watu wanayakataa matendo yake ya kinyama na kama mnafanya nae wewe acha kutetea uovu wake kwa visingizio visivyo na mashiko
 
Hahaha naona Bujibuji ukweli unachoma moyo kama mkuki, hahaha, mna hangaika mno. Utendaji wa serikali ya awamu ya tano umewapagawisha kinoma, poleni. Ila ndiyo hivyo, Dkt Magufuli ni rais wa mioyoni mwa watanzania mpaka 2025, na tukiona vipi tutaandamana ili aongezewe mingine mitano
Ni rais wa wale 900 wa kanda ya ziwa na nyie mambumbumbu
 
Huyo jamaa kadanganya huyo kwenye picha anaitwa Mahamudu Mringo, aliwahi kua naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni na ni mmiliki wa Shule/Vyuo binafsi zinaitwa Paradigms, mke wake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Usalama Mahali pa kazi kwa kifupi OSHA
Mringo ni jina la mtaani ni jina bandia lakini jina lake halisi ni nyaulingo
 
Back
Top Bottom