Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Huyo jamaa kadanganya huyo kwenye picha anaitwa Mahamudu Mringo, aliwahi kua naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni na ni mmiliki wa Shule/Vyuo binafsi zinaitwa Paradigms, mke wake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Usalama Mahali pa kazi kwa kifupi OSHA
Nyaulingo gani ana sigda ya kuwa anaswali sana ona picha ingine hii
nyaulingo feki.jpg


Tunamtaka huyu anayeapisha hapa amekunja mikono na picha ingine suti ya blue naye yamkute kwani ni balaa. Ni OSINT tu jamani sio HUMINT.
noma 1.jpg
noma 2.jpg
noma 2.jpg
 
Mambo yanaendaje hapo eagle wing lakini

Hivi na nyie mnakunywa chai na maandazi kama sisi raia

Au nyie wenzetu mna vyakula vya kijasusi

😃😃😃😃 eagle wings ya chumbani mwangu ... pako poa nipo na Aisha mweupe tunafanya yetu, tuongeze nguvu kazi...

Mie na Aisha tunakulana mate yetu tu, hatujui hizo chai ma maandazi 😃😃😊
 
Mambo yanaendaje hapo eagle wing lakini

Hivi na nyie mnakunywa chai na maandazi kama sisi raia

Au nyie wenzetu mna vyakula vya kijasusi

Alafu kwenye hii thread ukipost comment, ukiona imepata like nyingi sana, usishangae ukaanza kutafutwa na wasio julikana... ujue umepiga pa kweli kweli wakati wenzako walifikiri utani utani 😎😎😎
 
Back
Top Bottom