Dive
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 868
- 1,424
Nyaulingo gani ana sigda ya kuwa anaswali sana ona picha ingine hiiHuyo jamaa kadanganya huyo kwenye picha anaitwa Mahamudu Mringo, aliwahi kua naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni na ni mmiliki wa Shule/Vyuo binafsi zinaitwa Paradigms, mke wake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Usalama Mahali pa kazi kwa kifupi OSHA
Tunamtaka huyu anayeapisha hapa amekunja mikono na picha ingine suti ya blue naye yamkute kwani ni balaa. Ni OSINT tu jamani sio HUMINT.