Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Kuelewa kinachoendelea humu utahitaji utulivu ...

Pia jf ni social platform salama zaidi kuongea haya mambo ...

Kwenye huu uzi wasiojulikana wamebishana na kuparuana sana

Sisi raia tulkua tunaokoteza okoteza mawe tu na kukimbiza mwizi
Team ya Wasiojulikana wameingiwa na wasiwasi hofu nyingi na team ya x spay wamekula corner.
 
He looks so familiar... Nafkiri nilishamuona kwenye mijadala ya TV..
Huyo jamaa kadanganya huyo kwenye picha anaitwa Mahamudu Mringo, aliwahi kua naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni na ni mmiliki wa Shule/Vyuo binafsi zinaitwa Paradigms, mke wake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Usalama Mahali pa kazi kwa kifupi OSHA
 
Mzagila mwanyaulingo mhehe wa Nyabula is alive & well.Huyu ni mhehe mwenzetu Iringa ameaga.Bahati mbaya wapashaji hbr wenu wanawapotosha hana Fracture yoyote ready to be discharged home.
Kama ni kweli yuko hai na akawa amesoma yaliyo andikwa humu lazima amrudie Mungu wake na kuomba toba. Binadamu ukichukiwa kiasi hiki wewe ni zaidi ya mnyama.
Kama ana mke na watoto anajisikiaje iwapo wanaona hisia za watu juu yake?
 
Back
Top Bottom