Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Huyo shughuli yake imekwisha. Ubaya wa kutumika ndio huo, utakapokuwa huna uwezo wa kutumika tena unapotezwa.
Aanze kutubu, siku zake zinahesabika...

Killing mission zote huwa unatumwa kuuwa then after mission lzm uuwawe ili kumlinda mauaji mkuu usitoe siri,thus huwezi kuta MTU smart akakubali tumika hovyo na mwanaume mwenzake Kwa ahadi ya pesa au vinoa akafanye killing mission. Wengi huwa ni uneducated, waliokata tamaa ya maisha,waliotoka koo zenye laana ya mauaji.You kill at the darkness to hide the society at the end all society know the killer and King killer.Dunia haijawahi tunza siri.
 
Naam,

Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo.

Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney.

Huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania.

Inavyoelezwa, ni beyond repair labda apelekwe ng’ambo. Akipelekwa huko pia tutawadondoshea kinachozidi kumkuta.

Ni siku chache kabla ya kurejea kwa Bwana T L.

Kumbuka, bwana mwingine almaarufu ‘Makichwa’ alikutana na ‘Mkono wa Bwana’ akanyakuliwa wakati Boss Kubwa akiwa ziarani Mbeya. Makichwa anadaiwa kuwa ndiye alikuwa ‘mashine ya kazi’.

Eid Mubarak
Tupicha tafadhali
 
Killing mission zote huwa unatumwa kuuwa then after mission lzm uuwawe ili kumlinda mauaji mkuu usitoe siri,thus huwezi kuta MTU smart akakubali tumika hovyo na mwanaume mwenzake Kwa ahadi ya pesa au vinoa akafanye killing mission. Wengi huwa ni uneducated, waliokata tamaa ya maisha,waliotoka koo zenye laana ya mauaji.You kill at the darkness to hide the society at the end all society know the killer and King killer.Dunia haijawahi tunza siri.
Tumejifunzia wapi hiyo mkuu? Kwenye movie za Hollywood?
 
Only the strong can survive!!! if you kill someone!!! You will be killing with someone in darkness place. Hakuna spy yeyote anaweza kukimbia katika ulimwengu wa kispy Ni ku jicheleweshea kifo tu. Ukimtendea mtu ubaya nawe utandewa ubaya DAMU Ni sadaka tangu kwa nabii IBRAHIMU baba wa imani kama ulitoa uhai wa mtu jua ulitoa sadaka na mwisho wa sadaka nawe kutolewa sadaka.

Hata Yule anakutuma nawe atakuua tu kwa njia yeyote ile.
 
Back
Top Bottom