Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Mnara wa babeli ukianguka siku nebukadineza miti ikiteleza watalimia Simu watatamani kuibadilisha historia, historia huwa haibadiliki google utunza kila kitu. Watakusanywa kama Kuku akusanyavo vifaranga.Wasiojulikana wa Gambia wanaoza jela Gwiji wa ndumba Jameh hawezi wasaidia hana nguvu hana mamlaka hana amri zaidi ya kumuamuru Mke wake.Omba hekima usio Mali, ukipata hekima umepata vyote.
 
Huyo shughuli yake imekwisha. Ubaya wa kutumika ndio huo, utakapokuwa huna uwezo wa kutumika tena unapotezwa.
Aanze kutubu, siku zake zinahesabika...

Na ukitumika sana unakuwa ‘threat’ na wewe, unapotezwa vilevile.
Hiyo ajali aliyopata huenda ulikuwa mpango.
 
Back
Top Bottom