Kiongozi wa Kenya aivulia kofia Tanzania, aiponda Kenya kwa sana.

What is way forward for Kenya?, any idea?.
Siasa ya Kenya utachoka nayo jinsi mimi nilivyochoka nayo. Wakenya wengi wamebakia kutazama mambo kwa mbali. Sidhani kuna suluhisho rahisi kwa matatizo ya Kenya. Tukipata viongozi wema ndio mambo yataanza kubadilika lakini hiyo ni ngumu kufanyika. Tribalism na corruption yatamalizwa na viongozi wema. Kwa sasa, mambo yatabaki yalivyo bila kubadilika.
 
Mawazo kama haya ndio "the way forward kwa Kenya".
 
Hivi ninyi majambazi yenu yamejaa katika magereza ya Tanzania, na wengine wameuliwa, mbona hatuwasumbui?, ombaomba na jambazi, kipi ni kibaya?, majizi na majambazi wakubwa ninyi, ndio sababu hatutaki kuwaruhusu kuja bila Passport.
Wangapi hivi Kama uko na idadi kamili?
Na kweli kenyatta aliwapa ulaji wakikuyu. Ndo maana ardhi yote yenye rutuba mnaimiliki ninyi.
Kumbe unajua mpo namba 3, sijataja Tz Ila umekurupuka mbio just to confirm 🤔🤔
Kweli hata R/valley kwa Maasai na Kalenjin, Western kwa waluhya, Taita hills kwa Wataita, Kisii Highlands kwa Wakisii, Nyanza ya Mchele, Meru ya Mirungi, kahawa na chai, Embu ya Mchele, kahawa, majani chai na Mirungi, Hizo zote ni wakikuyu wanaishi na kumiliki mashamba ilhali kabila hizo zingine zote ni wakimbizi pande za Kaskazini na Mashariki mwa Kenya.
You are very bright bro, how did you get to know all this? And do you have any statistics to support it so that I can also get enlightened?
 
Wangapi hivi Kama uko na idadi kamili?

Kumbe unajua mpo namba 3, sijataja Tz Ila umekurupuka mbio just to confirm
Kweli hata R/valley kwa Maasai na Kalenjin, Western kwa waluhya, Taita hills kwa Wataita, Kisii Highlands kwa Wakisii, Nyanza ya Mchele, Meru ya Mirungi, kahawa na chai, Embu ya Mchele, kahawa, majani chai na Mirungi, Hizo zote ni wakikuyu wanaishi na kumiliki mashamba ilhali kabila hizo zingine zote ni wakimbizi pande za Kaskazini na Mashariki mwa Kenya.
You are very bright bro, how did you get to know all this? And do you have any statistics to support it so that I can also get enlightened?
Idadi yao imeizidi kidogo idadi ya omba omba wa Tanzania waliopo Kenya, hivi unakumbuka idadi kamili ya ombaomba wa Tanzania walioko Kenya?
 
Naona unampenda sana Ruto.Endelea tu kumfagilia, ni haki yako

Bro mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Kawasaidia 2012 kumuingiza Uhuru madarakani, kapelekwa mpaka kolokoloni kwa mabeberu chini ya Fatou Bensouda. Leo hii anaonekana si kitu. Inasikitisha sana.
 
Endelea sana na mapenzi yako kwa huyo jamaa.
 
Idadi yao imeizidi kidogo idadi ya omba omba wa Tanzania waliopo Kenya, hivi unakumbuka idadi kamili ya ombaomba wa Tanzania walioko Kenya?
Kuna omba omba Wahabeshi Tz? Hebu weka picha wakinyoosha vibakuli pale ubungo 😂😂😂
 
Siasa ya Kenya utachoka nayo jinsi mimi nilivyochoka nayo. Wakenya wengi wamebakia kutazama mambo kwa mbali. Sidhani kuna suluhisho rahisi kwa matatizo ya Kenya. Tukipata viongozi wema ndio mambo yataanza kubadilika lakini hiyo ni ngumu kufanyika. Tribalism na corruption yatamalizwa na viongozi wema. Kwa sasa, mambo yatabaki yalivyo bila kubadilika.
Sasa suluhisho litatoka wapi wakati watu kama wewe mnasifia upumbaavuu
 
Back
Top Bottom