Kiongozi wa Kenya aivulia kofia Tanzania, aiponda Kenya kwa sana.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Majirani zetu, lazima mkubaliane na ukweli kwamba, mzee Jommo Kenyatta aliwapoteza sana pale alipoamua kufuata siasa za ubepari zilizozidisha Ukabila. Matatizo yote yanayoikumba Kenya chanzo chake ni hicho.

Kenya haitokaa irudi tena barabarani, haya matatizo yatazidi kuongezeka siku hadi siku, mtapiga kelele na kulaumiana lakini hakuna jipya.

R.I.P. Nyerere, tunaona matunda ya ulichokua unapigania, hukuthamini viwanda vya "tooth paste" na sabuni, badala yake ulijenga misingi ya "Utu", umoja na mshIkamano, kupendana na kuthaminiana, kwamba hakuna mtu, dini wala kabila lililo bora zaidi ya wengine.
 
Kama si Nyerere Tz ingekuwa ilipiku Kenya miaka ya 70. Thanks to Kenyatta Sasa tunaongoza Ukanda wa East and Central Africa tukifuatwa na Ethiopia, Namba 3 wanajijua na ndio walioanzisha Uzi huu
 
Kuipiku kwenye nini ? Minority kuwa na kila kitu kunywa na kukinai huku wakipata mvinyo wakati majority hawana hata maji ya kunywa...

Faida ya nani kupita na kuangalia sky scrapper wakati hata benchi la kuegesha mwili wako hauna ?

Majirani zetu, lazima mkubaliane na ukweli kwamba, mzee Jommo Kenyatta aliwapoteza sana pale alipoamua kufuata siasa za ubepari zilizozidisha Ukabila. Matatizo yote yanayoikumba Kenya chanzo chake ni hicho.

Kenya haitokaa irudi tena barabarani, haya matatizo yatazidi kuongezeka siku hadi siku, mtapiga kelele na kulaumiana lakini hakuna jipya.

R.I.P. Nyerere, tunaona matunda ya ulichokua unapigania, hukuthamini viwanda vya "tooth paste" na sabuni, badala yake ulijenga misingi ya "Utu", umoja na mshIkamano, kupendana na kuthaminiana, kwamba hakuna mtu, dini wala kabila lililo bora zaidi ya wengine.

Wakenya wanashabikia nchi yenye serikali inayozika demokrasia?

Nani kakwambia Kenya viongozi wote wana akili!?

Huyu ni mmojawapo wa viongozi wajinga wa Kenya kama walivyo Tanzania kwenye awamu ya Tano!!!

He’s rightfully so!
 
Huwezi ona wakijibu hii! Ruto saahii anajenga hotel ya rooms 600 Mombasa! That's a $50mln+ facility!
Unaongea ni kama kuna Mkenya anayepinga kuwa Ruto ni mwizi. Wakenya wengi wanakubali kuwa Ruto ni mwizi mkubwa sana na binafsi siwezi taka awe rais. Itakuwa ni siku mbaya sana ikiwa huyu mwizi atakuwa rais.
 
Tunakujua ww una chuki na serikali wala hutupi shida alafu vipi mbona leo hujaandika insha !
Wakenya wanashabikia nchi yenye serikali inayozika demokrasia?

Nani kakwambia Kenya viongozi wote wana akili!?

Huyu ni mmojawapo wa viongozi wajinga wa Kenya kama walivyo Tanzania kwenye awamu ya Tano!!!

He’s rightfully so!
 
Kama si Nyerere Tz ingekuwa ilipiku Kenya miaka ya 70. Thanks to Kenyatta Sasa tunaongoza Ukanda wa East and Central Africa tukifuatwa na Ethiopia, Namba 3 wanajijua na ndio walioanzisha Uzi huu
Mnachekesha.hawa wahabeshi tunaowakamata kila siku wanaikimbia nchi yao tunawapa uji na glucose ili wapate nguvu tuwarejeshe kwaoo? Kama ndio maendeleo hayo endeleeni tu kwakweli
 
Vile vile omba omba wenu wamejaa kila Kona ya Miji yote ya Kenya wakizungusha vibakuli.

Usisahau Hawa Wahabeshi hawaji Tz kutafuta ajira au maisha mazuri(Tz ni maskini tu hata kuishinda Uhabeshi) ila wanapitia tu Kama vile watapitia Zambia,Malawi na Zimbabwe kuelekea SA.
 
Halafu,hao jamaa inaonekana wana hasira sana ...!!

Ona sura zao zilivyo kasirika,wanaweza kumtafuna mtu hao!!
 
Unaongea ni kama kuna Mkenya anayepinga kuwa Ruto ni mwizi. Wakenya wengi wanakubali kuwa Ruto ni mwizi mkubwa sana na binafsi siwezi taka awe rais. Itakuwa ni siku mbaya sana ikiwa huyu mwizi atakuwa rais.
Tony254, tatizo la siasa zenu za Kenya ni ukabila mtupu, kuna watu huko Kenya, tena wengi sana wapo tayari kufa ili kuhakikisha Rutto anakua rais, sasa hivi Rutto is the most popular politician in Kenya despite all those allegations.

Ukabila uliochochewa na Mzee Jommo Kenyatta na kumwagiliwa maji na Moi, ndio matokeo yake sasa yanaonekana. Kama kweli Mungu yupo, basi Kenya lazima Mungu atawaadhibu hadi vizazi vyenu.

Kitendo cha kuungana kuwatetea Rutto na Uhuru ili wasiadhibiwe kutokana na kuhusishwa kwao na fujo za PEV 2007 kwasababu wametoka katika kabila kubwa kubwa, na kuwaacha watu masikini hadi Leo wanateseka bila hata mtu mmoja kuwajibisha, Kenya mnastahili adhabu ya Mungu.
 
Unaongea ni kama kuna Mkenya anayepinga kuwa Ruto ni mwizi. Wakenya wengi wanakubali kuwa Ruto ni mwizi mkubwa sana na binafsi siwezi taka awe rais. Itakuwa ni siku mbaya sana ikiwa huyu mwizi atakuwa rais.

Mumeanza siasa za maji Taka.
Kwa nini mlimtumia kumuingiza guru madarakani!!?
 
Hayo ni maoni yangu. Kuna Wakenya bado wanampenda Ruto lakini wengi wameanza kumuogopa. Mimi mwenyewe sijawahi penda huyo jamaa kutoka kitambo.
 
Vile vile omba omba wenu wamejaa kila Kona ya Miji yote ya Kenya wakizungusha vibakuli.

Usisahau Hawa Wahabeshi hawaji Tz kutafuta ajira au maisha mazuri(Tz ni maskini tu hata kuishinda Uhabeshi) ila wanapitia tu Kama vile watapitia Zambia,Malawi na Zimbabwe kuelekea SA.
Naona hiyo singo ya ombaomba mmeikamata kweli kweli. Sawa hao wachache wametuharibia sifa. Kumbuka pia hao wahabeshi huko South Africa hawendi kutalii ni shida zinawapeleka. Ujuwe hilo
 
Back
Top Bottom