joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Majirani zetu, lazima mkubaliane na ukweli kwamba, mzee Jommo Kenyatta aliwapoteza sana pale alipoamua kufuata siasa za ubepari zilizozidisha Ukabila. Matatizo yote yanayoikumba Kenya chanzo chake ni hicho.
Kenya haitokaa irudi tena barabarani, haya matatizo yatazidi kuongezeka siku hadi siku, mtapiga kelele na kulaumiana lakini hakuna jipya.
R.I.P. Nyerere, tunaona matunda ya ulichokua unapigania, hukuthamini viwanda vya "tooth paste" na sabuni, badala yake ulijenga misingi ya "Utu", umoja na mshIkamano, kupendana na kuthaminiana, kwamba hakuna mtu, dini wala kabila lililo bora zaidi ya wengine.