Kiongozi wa Juu BAVICHA amhujumu Dr Slaa

Ahsante mkuu Molemo.

Mimi kila siku huwa nasema hawa mamluki si wakuwachekea hata kidogo kwani wamezoea sana kuendekeza tamaa na majungu na fitina kwa lengo la kukiangamiza chama, yani walivyo na akili za kiduku wanadiriki kumchafua Dr.Slaa alafu upande wa pili wapo kumsafisha Shibuda,...ooh My God!!! Hivi hawa watu mind zao zipo sound kweli?

Jaman tusiache kamwe kuwachana ukweli wajinga hawa.

Mkuu Shardole nakushukuru.

Kwa pamoja Chadema itashinda waasi hawa na wachumia tumbo hawa.
 
Last edited by a moderator:
Ningebalikiwa sana wangemtaja kiongozi huyo wa bavicha kama pakuanzia pameonekana kwenye hayo mamilion yaliyopokelewa.
Sasa haya mambo ya kuficha ficha ndo yaliyotufikisha hapa tulipo !

Umeambiwa ni Juliana Shonza
 
Kama alivyotabiri Wassira CDM inakaribia kusambaratika.


Ni mtazamo wako na wassira na hadithi ya fisi na mkono wa mwanadamu kudondoka, sijui kama fisi atapata kitoweo labda wako waweza dondoka!!!!!!!
 
Kuna kikao kimoja cha CCM ambacho moja ya maazimio yake ilikuwa kuhamasisha vijana wao kujaribu kujibu hoja za CDM hasa hapa JF. Kama unakumbuka, wamewahi hata kuihusisha JF na CDM. Hata hivyo wasipokuwa makini harakati zao hizi zinaweza kuwabomoa zaidi badala ya kuwajenga.

Hiyo kazi inaongozwa na kina William hapa jamvini.
 
Hata lowasa anasema Mwenye ushahidi Kuwa yeye fisadi atoe ushahidi wakati Anajua kweli yeye fisadi. Kuhusu chuki na Zitto umekurupuka hajawahi Kuwa hata balozi wa mtaa wangu nimchukie nini? Fact ni kwamba sipendi chiep politic Kama Zitto simchukii ila simkubali
kwa sababu wewe humkulibali ndio kiwe kigezo cha kumhusisha na siasa chafu ndani CHADEMA.? wewe utasema anatumiwa na Zitto,mimi nitasema anatumiwa na Mbowe,mwingine atasema anatumiwa na Lema. je tutafika kwa siasa za kuhisiana bila ushaidi..kama humkubali mkatae kwa hoja,kama anahujumu chama weka vielelezo hapa.!
 
Vijana bavicha wanamwacha tuu julianna na sasa wanakula marijuana...nani asiejua tatizo la uyo binti tuliwahi kuichana CDM hapa tukatukanwa ooh sie hatuipendi CDM,kwa kua sie tunaipenda CDM hatukupenda kuendelea kudrop some painful truth sasa uyu binti ambae kimsingi hana uwezo wowote saivi yupo sehem anakunywa castle lite huku akibrowse coments za JF,acount yake inashonwa milions of tz shs!...CDM wamesahau hata mungu aliwahi kutuasa kwamba wanawake tuishi nao kwa akili?? Kumbukeni ikawa Hawa kwa uyu Adamu akalaaniwa..
 
Vijana bavicha wanamwacha tuu julianna na sasa wanakula marijuana...nani asiejua tatizo la uyo binti tuliwahi kuichana CDM hapa tukatukanwa ooh sie hatuipendi CDM,kwa kua sie tunaipenda CDM hatukupenda kuendelea kudrop some painful truth sasa uyu binti ambae kimsingi hana uwezo wowote saivi yupo sehem anakunywa castle lite huku akibrowse coments za JF,acount yake inashonwa milions of tz shs!...CDM wamesahau hata mungu aliwahi kutuasa kwamba wanawake tuishi nao kwa akili?? Kumbukeni ikawa Hawa kwa uyu Adamu akalaaniwa..

What do you manifest?
 
kwa sababu wewe humkulibali ndio kiwe kigezo cha kumhusisha na siasa chafu ndani CHADEMA.? wewe utasema anatumiwa na Zitto,mimi nitasema anatumiwa na Mbowe,mwingine atasema anatumiwa na Lema. je tutafika kwa siasa za kuhisiana bila ushaidi..kama humkubali mkatae kwa hoja,kama anahujumu chama weka vielelezo hapa.!



Hana ushirikiano na wenzake, hajui sera za cdm na hajui majukumu Yake Kama mbunge wa upinzani that's all
 
Asante Mkuu MOLEMO kwa Taarifa

Mkuu kwa utafiti wako unaweza kujua ni Nani huyo tumchambue humu

Mkuu wangu Igwa

Vitu vingine vipo wazi sana.Nilianza kushtuka siku ile Juliana Shonza alipomshambulia hadharani Mkiti wake John Heche.Nikajua mle hamna kitu.
 
Matendo huzungumza zaidi ya maneno. CDM bila Slaa isingekuwa kama kilivyo hivi sasa. Karatu jimbo aliloliwakilisha hadi sasa ni miaka zaidi ya miaka 17 lipo upinzani. Kila uchaguzi unapotokea, CDM huongeza idadi ya wabunge na CCM hupungukiwa idadi ya wabunge. Halafu anatokea mjinga moja kutubabaisha kuwa Slaa kuendelea kuwa na kadi ya CCM ni msaliti wa CDM. Wote wenye mawazo haya ya kishetani washindwe maana kizazi kipya hakidanganyiki hivyo. Nawashauri CCM waendelee kupoteza muda wao bure badala ya kujikita katika mambo ya msingi. Pia kama kuna yeyote ndani ya CDM anashirikiana na CCM katika mchezo huu mchafu usio na tija, CDM ichunguze na imtimue haraka. CDM ni lazima ijipambanue umakini wake na vyama bongo lala.

Kamanda hilo liko wazi.
 
Hatimaye kile kilichokuwa kumejificha sasa kimewekwa wazi kwamba Kiongozi mmoja wa ngazi ya juu wa Baraza la vijana-CHADEMA BAVICHA ndiye yuko katika harakati za kumchafua Kiongozi wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa na ameapa kumuangamiza kisiasa kiongozi huyo kipenzi cha watanzania.

Taarifa za uhakika zilizoibuliwa na gazeti la Tanzania Daima Jumapili zinadai mkakati huo uliopangwa kwa ustadi mkubwa ulianza na Katibu wa Itikadi na uenezi Nape Nauye kuhoji sababu za Dr Slaa kumiliki kadi ya CCM huku akiwa kiongozi wa upinzani.

Baada ya tamko la Nape kundi hilo linaloongozwa na kiongozi huyo wa BAVICHA lilipokea mamilioni ya fedha kutoka kwa wanamkakati hao na kutakiwa kutembea nchi nzima kushinikiza Dr Slaa afukuzwe CHADEMA.

Mkakati wa kwanza ulianza juzi kwa mtu anayejiita mjumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA Eddo Mwamalala kuitisha mkutano na waandishi Dar na kutaka Dr Slaa atimuliwe mara moja kwa kumiliki kadi ya CCM.Kundi hilo litaendelea na ziara hizo wiki ijayo katika mikoa kadhaa.

Taarifa zinadai Dr Slaa amekuwa mwiba mchungu kwa chama tawala na chama hicho kiko hatarini kuondolewa madarakani.Inadaiwa mipango mbalimbali imepangwa kuhujumu CHADEMA na mkakati wa kwanza ni kumdhoofisha Dr Slaa.

Ingawa gazeti hilo halijamtaja kiongozi huyo wa BAVICHA lakini ni kwa muda mrefu sasa Makamu Mkiti wa BAVICHA Juliana Shonza amekuwa akihusishwa na makundi yanayomhujumu Mkiti wa BAVICHA John Heche.


Source: Tanzania Daima

- People wacheni kujidanganya Slaa ana kadi ya CCM ambayo anailipia kila mwezi, dawa ni airudishe kwetu CCM now ama sivyo hii ishu haiendi kokote mnaanza sasa kutafuta wachawi, kwanza mmesema ni Nape, LE Mutuz sasa mmeanza kuingilia wasichana wadogo huko Chadema, kisa na mkasa mnaogopa kumwambia Slaa kwamba kuwa na kadi ya CCM ni makosa, sasa tukiwapa taifa itakuwaje? huyu Slaa si atakuwa anafanya lolote analotaka mnasema ni Nape ndio anamsingizia, I mean mtumzima tena Babu ana miaka 70 ana kadi ya CCM na huku ni Kiongozi wenu, hamuoni hata aibu kuwasingizia wengine maneno ya uongo badala ya kupambana na Rais wenu?

- Mnatia aibu sana, I mean hii ishu ni white and black haina blah! blah! mwambieni Slaa kuwa na kadi ya CCM anayoilipia kila mwezi kwa Kiongozi mkubwa kama yeye ni makosa sana na ni aibu ya mwaka!!

Es!
 
Back
Top Bottom