Kiongozi wa Hamas akamatwa na Jeshi la Israel

kha...!!,ahmed yassin si kauawa miaka nane iliyopita kama sikosei,,,sasa huyu copycat katoka wapi?au alifufuka,wamemuua tena.?
 
Ikiwa amekamatwa kweli serikali ya Palestine inawezekana pia imetia mkono wake kwa sababu makundi haya hayana Umoja, cha kushangaza yote yanapigania ardhi ya Palestinian
 
mziki wa hamas wanaujuwa hamas si lelemama kama ingekua lelemama bas wasingewatowa idf jasho mwaka jana
 
No aliyeuwawa wakati ule alikuwa Twaha Yasin Ramadhan, nae alikuwa kiongozi mkubwa wa hamas

Mi nakumbuka kabisa hili tukio la kile kibabu kikiwa kwenye wheel chair kikitoka kuswali, kililipuliwa kwa kutumia Apache Helicopter equipped with Hell-fire missiles. Read read the link above.
 
Mi nakumbuka kabisa hili tukio la kile kibabu kikiwa kwenye wheel chair kikitoka kuswali, kililipuliwa kwa kutumia Apache Helicopter equipped with Hell-fire missiles. Read read the link above.

Yule ndio mwenyewe Twaha Yasin Ramadhan alikuwa mlemavu pia
 
Kuwaua viongoz wa hamas haitazima kamwe azma ya wapalestina kupambana na uzayuni
 
Back
Top Bottom