Kiongozi wa dini asiyejua kusamehe, vyeti vyetí mpaka lini

Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa,kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan,ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi,ili kila mtu anajua anavyotafsiri,lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini,ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo,kila kukicha vyeti vyeti,mfukuze wewe basi kama una mamlaka,napia serikali inaintelejensia kubwa kuliko ww,kama ni feki ama si feki mtajua tu
Ndio dawa ya wanafiki....
 
Hapa ni jino kwa jino mzee. Auaye kwa upanfa atakufa kwa upanga! Leta vyeti fuuullll stop!
 
Hata hao waumini hawachoki kusikia tu vyeti muda wote kila wanapoenda/kila wanapokuwa;

-Nyumbani~cheti
-shuleni~cheti
-harusini-cheti
-mtaani~cheti
-facebook~cheti
-instagram~cheti
-JamiiForum~cheti
-
-
-
kanisani(muda wa ibada)~cheti

Sasa kama mpaka kanisani tena masuala ya cheti si bora watu wabaki majumbani waendelee kupiga stori za vyeti?

Uzuri wake alishalizungumzia hivyo angekaa kimya aone kinachoendelea...

Nb;
Binafsi nahuzunishwa na suala la kutokuonesha vyeti ila si kila mahali nitalizungumzia hili.

Tena mpaka sakala hili linaisha inaweza tokea hata ndoa za watu kuvunjika maana unaweza kuta kila mtu badala azungumze masuala yake kulingana na mahali alipo unakuta anakazania Bashite Bashite Bashite....
Amekutuma??? Sheria na ifuatwe manano yote ya nini?
 
Ujinga wetu watz ni kudakia mambo lakini walio makini kila akianzisha jambo anahakikisha limefika mwisho.
Sasa bashite ameonyesha hivyo vyeti!? Ni kwa nini basi asivionyeshe ili Gwajima aaibike!
 
Hii suala la vyeti limeletwa na Mh.Rais na kuna watu wameacha kazi kwasababu Wana vyeti feki cha ajabu mnataka huyu jamaa asamehewe.

Kutumia vyeti vya magumashi ni kosa kisheria.

Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa,kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan,ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi,ili kila mtu anajua anavyotafsiri,lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini,ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo,kila kukicha vyeti vyeti,mfukuze wewe basi kama una mamlaka,napia serikali inaintelejensia kubwa kuliko ww,kama ni feki ama si feki mtajua tu
 
Vyeti ndio habari ya mjini...
Daud Albert Bashite!!
Mnalikitarajiwa liwe hadi sasa na kesho halitakuwa. Kwani ninyi ni mamlaka ya kuoneshwa vyeti!

Labda, kila anayetaka kuona hivyo vyeti akioneshavya kwake, mnaweza kumfuata kwake ofisini awaoneshe vya kwake.

Ni utoto tu mnaoufanya, kama vile kasuku kurudia hilo hilo
 
Mbona walioopgwa chin kisa vyeti hawakusamehewa????au mkuulu yy Hana Mungu???
 
Kumbe tupo wengi aliotuchosha. Mchungaji gani ww? Kanisan n Mungu tu anaongelewa. Take it
 
Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa,kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan,ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi,ili kila mtu anajua anavyotafsiri,lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini,ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo,kila kukicha vyeti vyeti,mfukuze wewe basi kama una mamlaka,napia serikali inaintelejensia kubwa kuliko ww,kama ni feki ama si feki mtajua tu
Mhalifu anasamehewa au anapelekwa mahakamani,bs km ni hivyo majambazi wote waliopo gerezani warudishwe mitaani.
 
Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa,kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan,ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi,ili kila mtu anajua anavyotafsiri,lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini,ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo,kila kukicha vyeti vyeti,mfukuze wewe basi kama una mamlaka,napia serikali inaintelejensia kubwa kuliko ww,kama ni feki ama si feki mtajua tu
Povu la nini atoe vyeti
 
Hivi siku huyu Paul Christian Makonda ambaye wengine wanamjua kama Albert Daud Bashite akiweka vyeti ''vyake'' hadharani na PAUL CHRISTIAN original asijitokeze (most likely) nini kitatokea? Hizi kelele za watu zitakwisha na mjadala utafungwa?

Bahati mbaya/nzuri jamaa hana hizo guts maana itakuwa ni kama vile kujipeleka kituo cha polisi na kete mbili za bangi mkononi
 
Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa,kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan,ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi,ili kila mtu anajua anavyotafsiri,lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini,ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo,kila kukicha vyeti vyeti,mfukuze wewe basi kama una mamlaka,napia serikali inaintelejensia kubwa kuliko ww,kama ni feki ama si feki mtajua tu
Mkuki kwa nguruwe.. Mbona kuna watumishi wamefukuzwa kazi na wengine kuhukumiwa jela kwa kufoji vyeti hatujasikia mkiiambia serikali isamehe? Acheni unafiki sheria ni msumeno Huyo jamaa aache kulia lia aweke vyeti tu... Watu walisafiri toka tandahimba kwenda Muleba kuchukua vyeti kwa ajili ya uhakiki halafu huyu mnataka kutetea kwa nini? Tuache double standards!
 
Kazi ya watumishi wa Mungu ni kufichua maovu na kuyakemea.
Namkubali sana Gwajima huwa hamumunyi maneno. Bashite lete vyeti
 
Back
Top Bottom