Kiongozi wa dini asiyejua kusamehe, vyeti vyetí mpaka lini

Yapo ya kusamehe lakini sio kuzuliwa unauza unga hadharani na media zote zipo, dunia nzima imesikia, halafu eti usamehe??
 
Mnalikitarajiwa liwe hadi sasa na kesho halitakuwa. Kwani ninyi ni mamlaka ya kuoneshwa vyeti!

Labda, kila anayetaka kuona hivyo vyeti akioneshavya kwake, mnaweza kumfuata kwake ofisini awaoneshe vya kwake.

Ni utoto tu mnaoufanya, kama vile kasuku kurudia hilo hilo
Povu loote hilo, maanake ni kwamba unatumia vyeti feki!
Bashite weka vyeti...
 
Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa, kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan, ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi, ili kila mtu anajua anavyotafsiri,

lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini, ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo, kila kukicha vyeti vyeti, mfukuze wewe basi kama una mamlaka, na pia serikali ina intelejensia kubwa kuliko ww, kama ni feki ama si feki mtajua tu
Kitendo tu cha kusema 'ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi' ni UNAFIKI na kukwepa kiini cha tatizo. Kuna haja gani ya kulialia na kuomba huruma ikiwa wote tunawafahamu na tabia zao tunazifahamu?

Mwanzo aliitwa mpiga dili. Sasa hivi tunaomba awe Mkristo ili asamehe. Well then, yeye akisamehe (hicho mnachodhani kinapaswa kusamehewa) itakuwa ndio mwisho wa upotofu unaozungumziwa?
 
Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa, kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan, ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi, ili kila mtu anajua anavyotafsiri,

lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini, ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo, kila kukicha vyeti vyeti, mfukuze wewe basi kama una mamlaka, na pia serikali ina intelejensia kubwa kuliko ww, kama ni feki ama si feki mtajua tu
Unataka asamehe?
 
Mbona gwajima alipolala central ukimtetea?

Unajivunia nchi inayoendeswa kwa vyeti feki?

Kama makonda anasakamwa kwanini asitoe vyeti?

Wewe unae mtetea mkuu wa mkoa dar, unamtea ukimjua kwa jina lipi Daudi bashite au paul christian?

Unavyeti feki alafu kamanda siro anakupigia salauti kweli tanzagiza
 
Sasa naanza kupata wasiwasi kama kweli ana vyeti aviweke hadharani kwani vyeti ni uchawi.
 
uzuri hawa hawajakutana barabarani, kwani kuuthibitishia umma kuwa anavyeti halali inachukua muda kama kusafiri kwenda sauzi? watu walilia kipindi cha uhakiki umesahau mtoa maada? aache drama alete vyeti kama anavyo! watu na vyeti vyetu bhana hata kama havifunction!
 
Fikiri kabla ya kutenda! Na hivi mimi naona bado hajamkazia inavyo takiwa huo msamaha unaousemea wewe ni msamaha upi? au unataka ile ukapigwa Kofi kushoto geuza na kulia? Kati yake pastor na bwana yule aliye zunguza yani zero yani pale Pamba yani Daudi Albert Bashite nani anatakiwa kuomba msamaha. Unalilia nini!!!!
 
Wakati wa kampeni yake ya Dar mpya,uliona jinsi alivyokuwa anapenda sana ushahidi kwa wakuu wa idara mbalimbali wa kimkoa na kiwilaya,Sasa na wao wakazi wa dar wanataka ushahidi wa vyeti tu,Kwani kama mtu una vyeti kwanini usivionyeshe
 
Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa, kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan, ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi, ili kila mtu anajua anavyotafsiri,

lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini, ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo, kila kukicha vyeti vyeti, mfukuze wewe basi kama una mamlaka, na pia serikali ina intelejensia kubwa kuliko ww, kama ni feki ama si feki mtajua tu
TUNAHITAJI VYETI
 
Jinai hainaga msamaha ndiyo maana Bashite ametorokea South Africa.

Hapa cheti tu
b75791df5a03f36fe5872bc05a153da9.jpg
Wanasema amerudi Mkuu! Inashangaza kuona watu wanamlaumu Gwajima. Ukweli uwekwe wazi na wananchi maana Serikali inakumbatia wababaishaji. Kweli pekee itamuweka huru Daudi.
 
Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa, kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan, ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi, ili kila mtu anajua anavyotafsiri,

lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini, ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo, kila kukicha vyeti vyeti, mfukuze wewe basi kama una mamlaka, na pia serikali ina intelejensia kubwa kuliko ww, kama ni feki ama si feki mtajua tu

Wacha kupovuka, hasamehewi mtu hapa mpaka aombe msamaha period. Kama unamuonea huruma sana Bashite mshauri akaombe msamaha huwezi muachie Gwajima aliyekashifiwa na bashite ashughulikie swala lake vyovyote anavyoona inafaa, asamehe kitu gani; usitumie maandiko vibaya, bashite anayejitia kuyajua sana maandiko angejua pia ubaya wa kumkashifu mtu hadharani pasi na ushahidi! Wacha hizo, muache bashite apigwe tuu!
 
Back
Top Bottom