Kiongozi wa Concervative avunja sheria za barabarani.

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,939
20,397
Akiri kosa na kuomba radhi


Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha Concervative bwana David Cameroon, leo imebidi aombe radhi baada ya kuonekana wazi anafunja sheria ya barabara ambayo inakataza kula wingi katika sehemu za wapita njia na pia kudharau alama za barabarani.

Waandishi wa habari ambao wao kazi yao ni kupasha, kuelimisha na kuburudisha jamii, leo wameielimisha jamii kwamba kiongozi ambae yupo mstari wa mbele kukemea tabia za kuvunja sheria ndogondogo ndie huyohuyo anazivunja.

Alipotoka tu nyumbani kwake Notting Hill asubuhi hii kuelekea kazini safari ambayo ingemchukua dakika 30, kiongozi huyo mbadala kama chama cha labour kitachemsha uwajibikaji,aligundua amechelewa hivo kuamua kuanza kuvunja sheria moja baada ya ingine.

Wadau wa masuala ya usalama barabrani wamelaani kitendo hicho ingawa imemlazimu bwana Cameroon kuomba radhi kwa kitendo chake hicho.

Sheria zimetungwa ili zifuatwe na hakuna mjadala hasa pale unapokuwa machoni pa wananchi na wadau wengine.

1.jpg

DAWSON PLACE, W. 2, The Royal Borough of Kensington and Chelsea
LAW HE'S BROKEN - Department of Transport: Under the Road Traffic Act road users must obey traffic signs or face a penalty. The law applies to cyclists as much as motorists.
VERDICT - Andy Shrimpton of Stop at Red: Many a cyclist has gone up a one way street - when it's empty. It's not a good idea and with this traffic it's barmy.



2.jpg


GREAT GEORGE STREET SW1, CITY OF WESTMISTER
LAW HE'S BROKEN - Traffic Signs and Regulations and General Directions 2002: The red signal shall indicate the period during which cyclists should not use the crossing. (This is an advisory direction)
VERDICT - Richard George of Cyclists Touring Club: It's not very sensible, cyclists should wait for a green light before crossing.


3.jpg

THE MALL SW1, CITY OF WESTMINSTER
LAW HE'S BROKEN - Section 36 of Road Traffic Act: A person driving or propelling a vehicle who fails to comply with the indication given by the sign is guilty of an offence.
VERDICT - Metropolitan Police: Traffic rules and regulations are in place for the safety for all road users. Anyone caught breaking the law could be subject to a fine



4.jpg

PARLIAMENT SQUARE SW1, CITY OF WESTMISTER
LAW HE'S BROKEN - He is in clear breach of the Road Safety Act 1988 which states all road users must comply with the indication given by the road signal.


Source: Mail
 
Back
Top Bottom