Kiongozi wa Chadema kinondoni (Dar es salaam) asema haoni sababu ya kuendelea kuwa kiongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa Chadema kinondoni (Dar es salaam) asema haoni sababu ya kuendelea kuwa kiongozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanamke1, Nov 22, 2011.

 1. m

  mwanamke1 Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF. NIMEKUTA HII *HABARI KULE FB NIKAONA NI HABARI YA MAANA SANA KULIKO HABARI NYINGINE, MAANI NILIZOEA KUONA WANASIASA WANASEMA NA KULAUMU TU BILA KUFANYA MAAMUZI, NIMEPENDA HAYA MAAMUZI: ila big up sana Chadema kuwa na vijana wenyekusaidia jamii.


  Ndugu zangu Watanzania: Nimekaa chini nakutafakari sana juu ya utu wa mwanadamu ni kagundua kunamakosa nilikuwa nikiyafanya eidha kwakutokujua ama kwa makusudi: Nimeadhimia ya fuatayo kuhusu maisha ya watoto wa mtaani na dada zetu wanaojiuza kwa hali mbaya ya maisha.

  1. sinto kula wa kulala bila kuwezesha watoto wa 5 kwa wiki na dada mmoja kutoka kwenye maisha waliyo nayo sasa kwenda kwenye maisha mapya.
  2. Sina haja ya kuwa kiongozi tena kama nitashindwa kuokoa vijana wenzangu kula madawa ya kulevia na kupoteza nguvu kazi ya taifa. Mungu naomba unisaidie kulisimamia hili.

  Ndugu zangu kila j2 nitakuwa na kikao jinsi ya kuwasaidia watanzania hawa wenzetu ambao wanahitaji msaada wa kiakili na faraja iliwaweze kurudi kwenye hali zao za kawaida kulitumikia taifa lao, Watu hawa lazima washiriki kwenye mchakato mzima wa kulijenga taifa lao.

  Ningependa kukutana na watanzania wenzangu wazalendo kwenye ofisi za chama mkoa wa kinondoni (chadema) zilizopo Mwananyamala. Kwa ambao watahitaji kuelekezwa ofisi zilipo mawasiliano 0714-225960 muda ni saa kumi jioni. Mungu awabariki sana kwa kuwa na mioyo ya upendo.
   
 2. m

  mwanamke1 Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau wa fb waamua kumuunga mkono na mimi nimo jamani nitaenda kumsikiliza.


  • likes this.

   • [​IMG]Shy-Rose Bhanji*I wish wote tungefikiri kama wewe, hakika tungefika mbali...TUKO PAMOJA!27 minutes ago*·*Like


   • [​IMG]Henry Kilewo*¡shy: ninashukuru sana, ila nitafurahi kama utakuwa balozi mmoja wapo.22 minutes ago*via*mobile*·*Like


   • [​IMG]Shy-Rose Bhanji*TUKO PAMOJA KAMANDA!18 minutes ago*·*Like


   • [​IMG]Fatina Kangessa*may God bless you18 minutes ago*·*Like*·*[​IMG]*1


   • [​IMG]Henry Kilewo*¡shy, mungu akubariki sana kwakukubali kuwa Balozi mmoja wapo ¡Fatina nashukuru sana ukaribie ili uwe balozi mmoja wapo.16 minutes ago*via*mobile*·*Like


   • [​IMG]Fatina Kangessa*pamoja kamada14 minutes ago*·*Like*·*[​IMG]*1


   • [​IMG]Shy-Rose Bhanji*Mungu atubariki sote Kamanda!10 minutes ago*·*Like


   • [​IMG]Adam Mvamba IronJr Victor*i thnk i wl be there,God bless us7 minutes ago*·*Like


   • [​IMG]Fatina Kangessa*sister shy -Rose Bhanji pomoja nawe mungu hawape nguvu3 minutes ago*·*Like

   
 3. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kumbe ni Kilewo safi sana kamanda, tunahitaji majembe yenye kufikiria na sikufikirishwa, Nitakuja Dar kwaajili ya hiyo ishu kamanda siku zote umekuwa mstari wambele kusimamia ukweli
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni jambo zuri sana kama ilifanyika kwa vitendo zaidi
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Umeona eeh! Content nzuri lakn Tittle yako mama ni kama umeandikiwa na Shigo!
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ungekuwa wewe ungeaandika nini?
   
 7. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0

  hapo kwenye nyekundu vipi?
  A tittle is a small diacritic mark, such as an accent, vowel mark, or dot over an i. Sasa unamaanisha nini ktk sentensi yako. Yaani umechapia sana.
   
 8. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Ni vizuri kwa vijana sasa kuanza kuwafikiria wenzao waliyo kwenye hali mbaya ya maisha na kuacha kukaa na kukesha sehemu za starehe huku mwenzako akitafuta hata Sh 500 angalau apate hata maji: Narudia tena hongera sana Kilewo tupo nyuma yako kamanda
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hilo ni wazo zuri sana na nakupongeza ila unaliweka kisiasa zaidi ungelifanyia mikutano yako nje ya ofisi za magwanda kwani wengine tunapenda mawazo kama hayo lakini si wanazi wa magwanda na kuna wengine hawana kabisa siasa, halafu wana siasa awe wa magwanda au magamba siku zote siwaamini 100%.

  Kuna uwezekano mkubwa wa kuwatumilia hao wenye matatizo kujitakia umaarufu wa kisiasa, naomba usiingize siasa kama kweli nia yako ni kusaidia 100%. Ukiendelea kulipeleka hilo ofisi zako za chama inaonesha kuwa unataka kuwatumia hao walalahoi kisiasa na hauna nia ya kuwasaidia.
   
 10. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mkuu, Hujaacha Mikogo tu?
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye rangi nyekundu kaka, nimejaribu kutafuta kwenye kamusi ya kiswahili fasaha hilo neno halipo! .....Kumbe na wewe uko kwenye nyumba ya kioo!!....nilijua nyumba yako ya udongo!! usiku mwema kaka.
   
 12. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kila la heri MUNGU awe nawe/nanyi daima
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Ktk hili nawapongeza. Nitahudhuria.
   
 14. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Punguza ubwege wewe, mbona nyinyi mnatoa t-shirt na kugawa hela pamoja na unga wa ugali???Acha afanye anavyotaka yeye na sio unavyotaka weewe, usiingilie shughuli za watu hebu kitulize hicho....Eti asifanye kisiasa ila unataka afanye kivipi??Kama hana sehemu nyingine za kukutana nao unataka wakutane wapi??Ameshakuambia kikao sasa wewe unafikiri nini??Think first before u chat shit!!
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Sawa, afanye hajakatazwa alipewa wazo tu, kama hajalipenda au ni la kibwege basi aendelee. Kuna ugomvi? Mbona huna heshima hata ya kuongea?

  Watu hawasaidii wakatangaza na kupeleka ofisi za chama, huo ni umwanjomwanjo. Hizo T shirt naona zimekukaa sana zile hazitolewi kwa kuwapa wenye matatizo yaliyotajwa hapo juu, zile ni "advertisement", apendae anachukuwa asiyependa hachukuwi.

  Kuwa na adabu unapoongea. Inaonesha umekuja kwa kunikusudia au unantafuta?
   
 16. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Watu wengine wako hai kwa sababu ni dhambi kuwauwa, msamehe bure!!
   
 17. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kwasababu ummezoe kuongopa mnafikri ni kila mtu anaongopa? Huu ndiyo uzalendo sasa siyo kupiga domo jukwaani tu.
   
 18. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kazi nzuri sana Kamanda kwani vijana wengi wanakosa hyo plan
   
 19. n

  never JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mungu ambariki sana kuwa na moyo wa upendo. Umeanza wewe na sisi tutakuunga mkono kamanda
   
 20. only83

  only83 JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
Loading...