Kiongozi wa BAVICHA mbaroni kwa kufanya mkutano bila kibali

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
19225820_944921668982658_8663272855356137935_n (1).jpg

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Patrick ole Sosopi anashikiliwa na polisi kwa madai ya kufanya mkutano bila kibali. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, John Kauga amesema Sosopi anashikiliwa kwa kosa alilotenda Juni 16.

Amesema anatuhumiwa kufanya mikutano katika vijiji vya Mlowa na Kinyika vyote vilivyopo Tarafa ya Idodi wilayani Iringa pasipo kupata kibali cha jeshi hilo. Kauga amesema kwa sasa polisi wanaendelea na uchunguzi na ukikamilika Sosopi atafikishwa mahakamani.
 
Sijui wanapataga faida gani,kuwakamata wapinzani! ni kutokujiamini tu
 
Back
Top Bottom