Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Z. Kabwe aichangia Chadema Tsh. milioni mbili

jd41

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
3,756
4,842
Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Z. Kabwe akiwa ameambatana na Kaimu Katibu Mkuu Dorothy Semu, na Katibu Mwenezi Addo Shaibu wamekabidhi tshs. milioni mbili, kusaidia kulipa fine zinazowakabili viongozi wa Chadema baada ya kuhukumiwa jana mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Zitto pia ameahidi kuwahamasisha wapenzi na wanachama wa ACT Wazalendo kuwachangia Chadema ili kukamilisha zoezi hilo.
ES1qA4rXYAA-CY1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Z. Kabwe akiwa ameambatana na Kaimu Katibu Mkuu Dorothy Semu, na Katibu Mwenezi Addo Shaibu wamekabidhi tshs. milioni mbili, kusaidia kulipa fine zinazowakabili viongozi wa Chadema baada ya kuhukumiwa jana mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Zitto pia ameahidi kuwahamasisha wapenzi na wanachama wa ACT Wazalendo kuwachangia Chadema ili kukamilisha zoezi hilo.View attachment 1384636

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ibariki Chadema
 
Afisa matukio wa taifa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afisa matukio wa taifa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
USD 1,000 = Tsh 2 million ni peanut!
Kwa taarifa ya Godbless Lema mishahara ya wabunge ni Shs 12 million kwa mwezi. Kwa jambo zito kama hili tulitarajia watu kama hawa wangalichangia angalao Tsh 10 million kila mmoja wao na tasisi kama ACT Wazalendo kutoa zaidi.

Watu kama Maalim Seif na Zitto ni mabilionea. Sasa tu million tuwili tu jamani yaani kamoja kamoja tu!
 
Tukimaliza faini ya hao majamaa, sasa tuelekeze nguvu kukusanya fedha kwa ajili ya kujenga viwanda kila mkoa na kuboresha hospitali zetu, pia tusisahau kununua madawati kwa shule za kata, badala ya kupiga tu piha mapungufu yaliyopo na kurusha mitandaoni ili kutafuta kiki.
 
Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Z. Kabwe akiwa ameambatana na Kaimu Katibu Mkuu Dorothy Semu, na Katibu Mwenezi Addo Shaibu wamekabidhi tshs. milioni mbili, kusaidia kulipa fine zinazowakabili viongozi wa Chadema baada ya kuhukumiwa jana mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Zitto pia ameahidi kuwahamasisha wapenzi na wanachama wa ACT Wazalendo kuwachangia Chadema ili kukamilisha zoezi hilo.View attachment 1384636

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio Chadema wameonesha jinsi walivyo wanafiki. Kila siku mtandaoni wanamtukana Zitto eti mnafiki. Mara ni CCM. Leo mnapokea pesa za mnafiki Zitto!? Kweli Baniani mbaya kiatu chake dawa!!
 
USD 1,000 = Tsh 2 million ni peanut!
Kwa taarifa ya Godbless Lema mishahara ya wabunge ni Shs 12 million kwa mwezi. Kwa jambo zito kama hili tulitarajia watu kama hawa wangalichangia angalao Tsh 10 million kila mmoja wao na tasisi kama ACT Wazalendo kutoa zaidi.

Watu kama Maalim Seif na Zitto ni mabilionea. Sasa tu million tuwili tu jamani yaani kamoja kamoja tu!
onesha meseji yako y muamala uliofanya
 
Back
Top Bottom