kajifunze uelewe jinsi uendeshaji Halmashauri ulivyo. Ila honest ni kweli Mbunge wa Tarime ni mpiga Kelele kama ulivyosema.
Kazi ya mhandisi wa wilaya ni nini?
Je mradi wa hilo daraja uko TARURA au TANROADS?
Mainjinia kote huko kumejaa mainjinia na miradi inategemea iko chini ya nani na ndo wanairatibu. Mbuge ni mpiga kelele kuomba hiyo miradi,inapoletwa sidhani kama yeye tena ni msimamizi.