Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesema ni marufuku kwa Nchi yake kupokea chanjo ya Corona

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesema ni marufuku kwa Nchi yake kupokea chanjo ya Corona kutoka Marekani na Ulaya, huku akisema kama kutakuwa na ulazima wataagiza chanjo kutoka Mataifa mengine.

“Marekani na Nchi za Ulaya hasa Uingereza hawaaminiki kabisa, wanaweza kuleta chanjo kumbe ndio zikawa zinaeneza maambukizi zaidi” - Ayatollah

“Hata Ufaransa hatutaki chanjo zao miaka ya 1980 na 1990 waliwahi kuwa na skendo ya kusambaza damu yenye virusi vya UKIMWI” - Ayatollah
#MillardAyoUPDATES

mmexport1610186538037.jpg

 
Huwezi wakwepa mabeberu. Utawakwepa kona moja utakutana nao kona nyingine!
 
Nikikumbuka jinsi mabeberu walivyoshirikiana na baadhi ya manesi kudunga watoto wadogo virusi vya UKIMWI then naona hawa mabeberu hawaaminiki kabisa
 
Vile vipimo vyetu vinavyoonyesha oil, na mapapai Yana corona, vinaweza kugundua kweli Kama hizoo chanjo ziko salama kweliii??? Mungu tusaidie.
 
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesema ni marufuku kwa Nchi yake kupokea chanjo ya Corona kutoka Marekani na Ulaya, huku akisema kama kutakuwa na ulazima wataagiza chanjo kutoka Mataifa mengine....
✓Iran wanatumia Twitter, Facebook Coca-Cola na bidhaaa nyingi za USA
Hahahahahahjajajjajajajajajjjjaaaahahhaah
 
Back
Top Bottom