Kiongozi mku wa nchi ni left handed au?

kuberwa

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
570
125
Hope mmekuwa na mapumziko mema! Hoja yangu kwa leo ni kuhusu kiongozi wa nchi yetu na mkono wa kushoto. Nimekuwa nikimshuhudia mara kadhaa raisi wa nchi yetu akiwapungia wananchi wake kwa kuanza mkono wa kushoto! Mara ya kwanza nlikuwa nkihisi kajisahau lakini baada ya kufanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua ni makusudi tu, make si hali ya kawaida katka maadili ya watz ni ishara ya dharau. Naombeni wana jamii mnijuze kama Raisi anatudharau au amepewa miiko kuwa always atupungie mkono huu mbaya... Natoa hoja wenzangu Asanteni kwa jadili hili kwa hekima bila ugomvi
 
Atakuwa ameelekezwa hivyo na mlinzi wake Sheik Yahya Hussein
 
Mkono wa kulia ama wa kushoto una uhalali gani na masuala ya kiutawala??
Do we judge namna wanavyotembea au wanavyoongoza??
let us be objective zaidi kwa masuala ya kimsingi hasa sera na maendeleo kwani hizi comments zingine zitatufanya tuonekane hatuna la kujadili hapa.
 
Aah! Jamani eeh! Mbona wapo viongozi wa nchi waliokuwa wakipungia wananchi kwa vitambaa vya kamasi au jasho yaani leso mfano. K. K.Kaunda, pia Mwl. J.k Nyerere alitumia fimbo je alimaanisha sie punda au ng'ombe wakorofi..! Pia Museveni Kaguta alikuwa na Tabia ya kutoa kofia na Kupunga hewani je alimaanisha kuwa yeye ni kichwa zaidi yetu.... Au yule kiongozi anyooshae kidole, vidole au ngumi je humaanisha anazo nguvu kutuzidi au?

Mie nadhani ni mazoea tu ya mtu na nafkiri hata wewe tungekupa wadhifa ungekuwa na mtindo wako wa kimuonekano na matendo, kumbuka kuwa jamii, mafunzo au mazoea fulani humjenga mhusika kuwa vile alivyo.

Binadamu wote ni sawa kwa mungu japo tunatofautiana sana kibinaadamu.
 
He could be right handed or lef handed depending on wewe unataka nini

  1. kuandika
  2. kupiga gitaa
  3. kucheza basketball
  4. kupungia watu
  5. kuchapa vibao
  6. kutupa ngumi
  7. kubeba vitu vizito nk

vyote hivyo kwangu havinipi hamu ya kumjua, ila hamu yangu kwake ni aongeze ufanisi na utendaji wa kazi ili nchi iwe inapostahili
 
Kushoto inatumika kuchomeka wakati wa mavituzi na kutawaza, ndo maana unaitwa mkono wa mavi. Hata katerero nzuri inapigwa na mkono wa kushoto.
 
kuhusu viongozi wengine sifahamu but kuhusu m7 nahisi kuvua kofia ni ishara ya heshima hivyo nafikiri anafanya ikiwa ishara ya kuwaapreciate wananchi wake. Naomba tujadili kulingana na maadili yetu watz kwani wale left handed pple wangeshake hands kwa huo huo mkono lkn kwa sababu ya maadili hawa watu hushake na mkono wa kulia pia.
 
Kushoto inatumika kuchomeka wakati wa mavituzi na kutawaza, ndo maana unaitwa mkono wa mavi. Hata katerero nzuri inapigwa na mkono wa kushoto.

mwenyewe nimezoea kufahamu hii ndo kazi yake hasa kuchambia hivyo huwa nikipungiwa mkono huu huwa sireply au narudishia huo huo na kama mtu analeta tushake kabisa siupokei kwani huwa nahisi amenithamanisha na kinyesi.
 
He could be right handed or lef handed depending on wewe unataka nini

  1. kuandika
  2. kupiga gitaa
  3. kucheza basketball
  4. kupungia watu
  5. kuchapa vibao
  6. kutupa ngumi
  7. kubeba vitu vizito nk

vyote hivyo kwangu havinipi hamu ya kumjua, ila hamu yangu kwake ni aongeze ufanisi na utendaji wa kazi ili nchi iwe inapostahili

what comes in your mind mtu anapokusalimia na kukupa mkono huu wakati wa kulia na tunaouthamini upo? Nahisi hii si kawaida hata kwa wale wanaotumia mkono huu kwa shughuli mbali mbali
 
what comes in your mind mtu anapokusalimia na kukupa mkono huu wakati wa kulia na tunaouthamini upo? Nahisi hii si kawaida hata kwa wale wanaotumia mkono huu kwa shughuli mbali mbali
Thanks tena nilisahau kuweka hapo;
8. mkono anaoshikana na watu wakati wa salamu

vyote kwangu havinisumbui kama vinatoka kwa JK kwani yaliyosemwa ni mengi sana na hasa haya ya kumuhusisha na imani "zetu"
 
Back
Top Bottom