Kiongozi huyu kwa mawe na viboko ataelewa tabu na mateso yetu tuyopata wa tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi huyu kwa mawe na viboko ataelewa tabu na mateso yetu tuyopata wa tz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by frozen, May 26, 2011.

 1. frozen

  frozen Senior Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mateja wameongezeka kwa kasi,watoto ombaomba wamejaa tele, wananchi wanapigwa risasi bila sababu za msingi,hospitali hazina madawa, pesa yetu inashuka thamani kwa kasi,bidhaa bei juu,elimu duni,yy amekaa kimya tuu,ametususa?kuna haja ya kuwa naye?
   
 2. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ****** anapanga namna ya kuchukua fungua lake kule h/quarter canada kuhusu madini yetu aliyoruhusu yawanufaishe wawekezaji wa kigeni
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Dunia Sasa Imani imekwisha ppapaappapraa Si kwa wakubwa eeehh si kwa watoto papapapprrrpaaarrraa Mioyo ya watu Imebadirika ppiippiipwepeee Kwenye watu Kumi Binaadamu Mmmojaa!! Wote Tunakwenda mzabwa mzabwa!!
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Ameamuka ktutulia tu ili asiharibu urafiki na mafisadi wenzake!
   
 5. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ninani huyo? yule "Mmsoga" maana ukiandika kabila lake wengine wana sema matusi sasa atakuwa "mmsoga" futeni na hili
   
 6. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hakuna haja kabisa
   
Loading...