Kiongozi HUYU hafai kuwa mwanasiasa

Kesho au keshokutwa wengine wakiiga mfano huo, isije ikaleta tabu. Tutumie same standards kwa kila mtu. Wasiwasi wangu ni kuwa watu wataanza kuja na magobole yao halafu sijui tutakuwa tunapeleka meseji gani
 
Tusimlaumu sana jamani....mwangalie mwenyewe kama si Mtusi/Mhutu atakuwa Msomali huyu.....trace the origin....kama hakuna mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kwao......Maji hufuata mkondo....Anayebisha aseme suuuhhhh
 
View attachment 37748
MWANAID PAWA;2539828]Eti jamani mtu anapanda jukwaani na bastola . Huyu mtu hafai kuwa mwana-sihasa !

ALIAMBIWA KUWA MIKUTANO YA KAMPENI CCM INAHUDHURIWA NA WAPENZI WA CHADEMA ! ONA MWENZETU YULE KATEMBEA NA KABINTI KA KADA MWENZETU AKAKAPA NA 200,000/= ,TSHIRTS NA CD LAKINI KAKAMPIGIA SIMU BWANA WAKE SAA HIYOHIYO KWA HIYO JIAHADHARI BWANA WANAWEZA KUOJI URAIA WAKO SASA WEWE WAONYOSHE KWAMBA NI AL-SHABAB KWELI WATAOGOPA! SI WANAKUMBUKA MLIVYOKUWA MNAIBA PEMBE ZA NDOVU NA KWENDA NAZO BURUNDI MMESHIKA MABEGANI HAKUNA POLISI WA KUWAHOJI WALA ASKARI WA WANYAMAPORI ALIEKUWA ANAWAHOJI.NENDA KAWAONYESHEE! ULEVI NOMA JAMA AKAKUMBUSHIA ENZI HIZO ZA WIZI WA PEMBE ZA NDOVU BIASHARA PEKEE ILIYOWALETA TANZANIA.

 
Kwa kweli nchi inapoelekea sipo ingelikua chadema au chama kingine,police wangemvamia na kumuweka katika mahojiano lakini kwa kua ni ccm inaonekana ni sawa tu jee? tutafika kweli au ndo wanaonesha ubavu wao ila watambue hata gadafi amegonga mwamba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom