Kiongozi gani wa Africa aliyebaki ambaye siku mauti yaimkuta ataagwa kama Nelson madiba Mandela?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakubwa,

Najaribu kujiuliza tu baada ya mpendwa wetu Nelson Madiba Mandela kututoka na kuagwa na viongozi wakubwa wa Dunia na Serikali ya Uingereza kuagiza bendera kupepea nusu mlingoti katika ofisi zake zote.Je ni ,iongozi gani ambaye Africa tumebaki naye ambaye siku mungu akichukuwa uhai wake anaweza enziwa na kuagwa na viongozi wakubwa Duniani.
Wakuu mie bado natafakari tu.Tanzania hatuna
 
Braza wa Msoga atavuta watu wengi kuliko Mandela maana amewekeza sana kwa viongozi wenzie kwa safari zake za Ki-Magellan anazoendelea kufanya ulimwenguni kote.
 
JK anajitahidi sana pia na huenda akaanza hata na tuzo ya MO Ibrahim
 
Sio Afrika tu. Hakuna kiongozi yoyote Duniani atakayezikwa Kama Mandela. Labda kizazi kijacho. Mandela alikuwa zaidi ya Kiongozi. Tuliobahatika kusoma na kuzifahamu harakati zake tunalifahamu hilo.
 
Sasa nyinyi mumeona wapi mazishi ya Mandela wakati mumeambiwa hadi trh 15, acheni kutudangaya bana au uko mliko trh kuminatano imefika?
 
Sio Afrika tu. Hakuna kiongozi yoyote Duniani atakayezikwa Kama Mandela. Labda kizazi kijacho. Mandela alikuwa zaidi ya Kiongozi. Tuliobahatika kusoma na kuzifahamu harakati zake tunalifahamu hilo.

wewe unasema tu,ujue Lowassa atamfunika mzee Madiba,
 
Sio Afrika tu. Hakuna kiongozi yoyote Duniani atakayezikwa Kama Mandela. Labda kizazi kijacho. Mandela alikuwa zaidi ya Kiongozi. Tuliobahatika kusoma na kuzifahamu harakati zake tunalifahamu hilo.

Labda malkia wa uinglishi.
 
Back
Top Bottom