Kiongozi gani anahitajika kuiongoza nchi hii tanzania iliyojaa asali na maziwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi gani anahitajika kuiongoza nchi hii tanzania iliyojaa asali na maziwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by emmanuel katamba, Jun 17, 2012.

 1. emmanuel katamba

  emmanuel katamba Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KWA KAWAIDA KUNA VIONGOZI WA AINA TATU::flame:
  1. NI YULE AMBAYE AMESAIDIWA NA WATU KAMA VILE MATAJIRI, WAFANYABIASHARA AU HATA MAGENGE YA WAHARIFU KUINGIA MADARAKANI. MTU WA AINA HII AKIWA MADARAKANI ATAMTUMIKIA ATAWATUMIKIA HAO WALIOMSAIDIA KUINGIA MADARAKANI.
  2. KUNDI LA PILI NI LA YULE AMBAYE TAMAA ZAKE BINAFSI NDIO ZILIZOMSUKUMA KUINGIA MADARAKANI. MTU HUYU AKIFANIKIWA KUINGIA MADARAKANI ATAHAKIKISHA ANAJINUFAISHA YEYE MWENYEWE NA KUZITIMIZA AU KUJINUFAISHA BINAFSI AU FAMILIA YAKE NA KUIACHA JAMII ILIYOMCHAGUA IKITAABIKA KWA UMASIKINI.
  3. KUNDI LA TATU NI LILE AMBALO HUINGIA MADALAKANI KWA SABABU YA KUGUSWA NA MATYATIZO YANAYOWASUMBUA WANANCHI KAMA VILE UMASIKINI, MAGONJWA, UKOSEFU WA AJILA, UKOSEFU WA VIFAA VYA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA. KUNDI HILI MARA NYINGI HUWA HALIDUMU KATIKA MADARAKA KWA KUWA LINAWATUMIKIA WANANCHI WALIOWACHAGUA NA KUTUMIA RASILIMALI KUTATUA MATATIZO YAO.
  SWALI: JE TANZANIA TUNA VIONGOZI WA AINA GANI?
  :flame:
   
Loading...