Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 332
Upepo wa kisiasa chadema si shwari baada ya maazimio yaliyofikiwa mwezi uliopita
na kamati kuu ya chama hicho ya kuamua kuwavua nafasi zote za uongozi zitto kabwe, na wenzake samson mwigamba pamoja na dr.kitila mkumbo kwa tuhuma za kukihujumu chama kwa kuandaa waraka wa siri unaohimiza kufanyika kwa mageuzi ktk uongozi wa juu chadema na kupewa siku 14 kujieleza ni kwani wazivuliwe kabisa uanachama, baada ya maamuzi hayo ndipo katibu mkuu wa chadema dr.wilbroad slaa kuanza kufanya ziara mikoa ya kigoma,mwanza,shinyanga na tabora kwa kile kinachojulikana kama ziara ya kuimarisha chama, lakini kinachonekana ni mbinu ya dr.slaa na mbowe kupima upepo wa mwanasiasa huyo kijana kama nguvu yake ktk kanda hiyo yanaweza kuathiri maamuzi ya kamati kuu kwani lengo la slaa na mbowe ni kumtimua kabisa zitto, lakini kutokana na matokeo ya ziara hyo inaonekana wazi kuwa hakuna wa kuweza kumfukuza zitto chadema, hii ni kwa mujibu wa taarifa niliyoipata kutoka kwa mmoja wa viongozi waandamizi kutoka makao makuu ya chadema DSM.