Kiongozi anaposhindwa kuongoza- Kesi ya Kikwete

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,534
40,160
Ukweli na Usemwe!; Saa nane mchana EST, saa tatu EAT exclusive kwenye KLH News International.
Simu ya kutoa maoni: 1 248 686 2010 kama una skype tumia mwanakijiji007
 
MKJJ

Kulikuwa na tatizo gani jana? Maana Radio iliendelea kutwanga muziki tu, huju wewe ukikatiza mara kadhaa kutusabahi, nami niliendelea kusubiri kuanza mahojiano kwa masaa kadhaa hadi usingizi ukanipita.

Natumai leo mambo yatakuwa shwari... kamuziki katamu kanaendelea, saa tatu kasoro dakika mbili tatu....
 
Mwanakijiji loves some Remmy Ongala and Ndour.I am listening live.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom