Kiongozi ambae ni dikteta kamili na si uchwara ana sifa zifa hizi:

stigajemwa

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
449
430
1.Hasikilizi matakwa ya anaowaongoza bali matakwa yake
2.Anaishi kwa kutoa vitisho kwa anaowaongoza badala ya kuwaonesha njia
3.Haelewi tafsiri ya neno demokrasia badala yake yeye ana tafsiri yake
 
Back
Top Bottom