MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoonyesha kuwa huenda mwisho wa dunia unakaribia Mabinti wengi nchini Kenya wanatumia Kinywaji cha Coca Cola na Limao kuzuia Mimba pindi tu wamalizapo kufanya Ngono ( Kuzini )
" Tukimaliza tu kufanya Ngono haraka sana huwa tunawahi Bafuni na kujimwagia upesi Soda ya Coca Cola Ukeni au tunapakaa Limao Ukeni ambayo husaidia sana kuvuta Shahawa zote zilizomwagwa ndani na Wanaume " alisema Binti Mmoja.
Chanzo: THECITIZEN.CO.TZ
Kwa Taarifa hii ambayo naiona ni Fursa Kubwa Kibiashara ngoja niifufue Friji yangu mbovu ili niuze sana Soda za Coca Cola hapa Tandale na niagizie Malimao mengi Kijijini ili niuze kwani sipo mbali na Hostels za Mabinti wa Vyuo Vikuu vikubwa Jijini Dar es Salaam.