Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,112
Duh!huyu mzee lazima atakuwa na matatizo ya kisaikologia!
Nimeelewa vizuri sana,kinachonishangaza ni yeye kupoteza muda wake kwaajili ya kutafuta hug!Umepost bila kusoma na kuelewa
si kupoteza muda kwa ajili ya hug! homeless people hawana kitu na anawasaidia kwa malipo ya hug, nani atashindwa kulipia hag! zungumzia homeless na beggars....Nimeelewa vizuri sana,kinachonishangaza ni yeye kupoteza muda wake kwaajili ya kutafuta hug!