Kinyozi anaporindimisha shuzi akiwa kazini

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
1,320
835
Siku moja kinyozi alipokuwa anatoa huduma kwa mteja alipumua kwa kutumia mlango wa uani, na ili kumpumbaza mteja kinyozi akaamua achanganye wimbi la shuzi lake kwa maongezi murua kama ifuatavyo:

Kinyozi: Hivi ulisema wewe asili yako ni mkoa gani?
Mteja: Mkoa moja wa nyanda za juu kusini
Kinyozi: Ahh napenda sana mikoa ya nyanda za juu kusini
Mteja: Kwanini?
Kinyozi: Hali ya hewa kwenye mikoa hiyo ni mzuri sana
Mteja: Kweli kabisa yani tamani wakati huu ningekuwa huko
Kinyozi: Hata mimi natamani nikaishi huko, unaonaje hali ya hewa ya hapa Dar?
Mteja: Kwa kweli hali ya hewa ya sasa hapa inaonyesha kwamba punde tu mvua ya kinyesi itanyesha hata kabla hujamaliza kukata nywele zangu
Kinyozi: Teh teh teh teh teh hizo ni mvua za vuli zinasababishwa na ugali kwa choroko na papa wa kuchoma
 

senator

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
1,924
61
Duh kinyozi nae kamuunganishia vyema..hvi Vipande vya papa vinapatikana kweli?!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom