cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 649
Kinyozi anahitajika salon ipo sinza,piga 0652710020
Ulisikia kazi hii ina TGS ngazi ya mshahara,we anaekutumikisha alikutangazia na mshahara?Unataka umtumikishe bure
Katoa namba ya simu piga umuulizie.. vitu vingne Kama mshahara ni makubaliano yao ofisi zote hata wewe ukipata nafasi ya kuajiriwa mshahara utapangiwa Na bosi wako.hutamwona akitangaza mshahara wakoNdiyo bwana we mwisho AJE APO ,huanze kumtoa Buku 5 kwa siku,we tangaza mshahara
Huyu jamaa inavyoonekana anamfahamu vizuri mwenye saloni ndio mana anamjibu hivyoMshahara MTU apangiwi Ila no makubaliano,we ina maana sinza yooooooote umekosa vinyozi mpaka uje humu,hawataki kwa kuwa malipo kidogo
akiamungu tutanyooka sanaa safari hiziHuyu jamaa inavyoonekana anamfahamu vizuri mwenye saloni ndio mana anamjibu hivyo
Mshahara MTU apangiwi Ila no makubaliano,we ina maana sinza yooooooote umekosa vinyozi mpaka uje humu,hawataki kwa kuwa malipo kidogo
Mkuuu hapo umeongea point tupu, nilikuwa nakupima thinking capacity Yako ikoje,ngoja nikamwambie mshikaji wangu pande Hilo kama hujapata MTU bado
Kwa maisha ya tanzania kufnikiwa ngumu sana,tafuta tu ya kula
Sure we kama kazi Yako unataka umlipe mtu5000 kwa siku hujui Anatoka wapi,nauli,matibabu,likizo ,we sema unatafut MTU WA kumnyonya tu siyo kazi hiyo