Kinyesi cha Kijani:Nini sababu?

Mar 22, 2013
21
3
Wakuu heshima mbele.
Nime notice rangi ya kinyesi changu kuwa ya kijani kabisa kwa siku ya tatu sasa.
Sipati maumivu yoyote wakati wa kujisaidia,na wala sina maumivu yoyote ya tumbo.
Content ya green vegetables na matunda sijabadili,ni ya kawaida kama ninavyo tumia siku zote.
Naomba kujuzwa nini sababuya hali hii,na nifanye nini kurudi hali ya kawaida.
AHSANTENI.
 
Pole sana mkuu ila si kawaida. Hebu google kwa kiswahili au kiiingereza utapata majibu. Ila Dr. MziziMkavu ni mtaalam na bigwa wa masuala mengi alipe tunakuomba uje.

cc Dr. MziziMkavu
 
Pole sana mkuu ila si kawaida. Hebu google kwa kiswahili au kiiingereza utapata majibu. Ila Dr. MziziMkavu ni mtaalam na bigwa wa masuala mengi alipe tunakuomba uje.

cc Dr. MziziMkavu
Ahsante mkuu Zogwale.
Nimejaribu ku google.
Sababu kubwa nilizo zipata huko ni:
1/ Ulaji ulio pitiliza wa green vegetables.
Hili kwangu halipo,nakula kiasi kidogo tu cha mboga za majani na matunda kwenye mlo wangu.
2/Bowel Infection(Maambukizi kwenye njia ya chakula)
Hili wameelezea linakuwa associated na green diarrhoea.
Lakini kwa upande wangu napata stiff stool.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom