Kinpindi cha dk 45 itv- kurudia madudu yao na magamba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinpindi cha dk 45 itv- kurudia madudu yao na magamba.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shardcole, Mar 5, 2012.

 1. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Habari wana JF! Jamani kipindi cha dk 45 cha ITV chini ya mtangazaji sulemani semunyu kama ilivyoada kwao kwa kuarika magamba kwenye hiki kipindi, na leo tena wamemuarika gamba mwingine. So ni vyema wanamageuzi 2kalipigia kelele swala hili kwani sasa ITV inataka kuwa kama TBC1 kutumiwa na magamba. Naomaba kuwasilisha.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,324
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Zima tv au switch to Agape television au km agape inakuboa sikiliza radio Iman
   
 3. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hivi jk huwa anawaokotea dampo gani mawaziri wake?
   
 4. n

  nkurwa Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha ha....ni lamaana unaloongea lakini tumeshaletewa ving'amuzi unge check star tv,aljazira.nk ingekusaidia kuondoa uchungu ulio nao.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,124
  Likes Received: 7,086
  Trophy Points: 280
  Mimi mtu anaelalamikia ITV, TBC na Clouds Fm uwaga namuona yeye ndio mwenye matatizo, wewe michanel yote hii bado unaganda kusikiliza kipindi cha dakika 45? hivi Mengi aliwahi lini kuhama CCM?
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,608
  Likes Received: 3,725
  Trophy Points: 280
  Tupe RIHI kidogo ya yaliyojiri, wengine ITV haifiki huku tuliko
   
Loading...