Kinonzo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
1610887031640.png


My take: Wapinzani wa Uganda walipitia mateso makali wakati wa uchaguzi lakini wamepata wabunge kadhaa japo urais walipoteza, sisi hofu yetu ilikua kubwa tumenyongwa kweli. Tusitegemee matumaini ya ushindi wakati tumejaa woga.
 
Sky asante sana kwa hiki kibonzo! Nasikia wabunge ni 50:40 kwa chama cha Bobi Wine
Wamejitahidi sana hapa inawezekana Kaguta hakutaka yaliyotokea kwa jirani yamtokee yeye, maana mbelewya wana demokrasia ana bunge lenye upinzani. Au huenda aliweka nguvu nyingi kulinda kiti cha Urais.
 
Bob wane kakosa ila kapata wawakilishi👏.
Kwetu ✌️wamekeso wao, na wawakilishi wao..
Nachowapenda waafrika hawana kukataa
Wao wanna...
Hope tu.
 
Back
Top Bottom