Kinondoni yaendelea kuzipiga bao Temeke na Ilala

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Wakuu ni muda nilikuwa nje ya jiji la Dsm kikazi,nimerudi 2 weeks ago,nimetembelea maeneo mengi ya wilaya ya Kinondoni nimekuta bara bara za mitaa mingi zimejengwa,majengo mengi marefu yanazidi kujengwa lakini hali ni tofauti wilaya ninayo kaa ya Temeke,iko vile miaka nenda rudi pia Ilala ukitoa Posta na Kariakoo maeneo mengi yako vile vile.Kunani Temeke na Ilala?
 
Back
Top Bottom