Kinondoni uchafu sasabasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinondoni uchafu sasabasi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, May 10, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wana JF, siku chache zilizopita nilikuwa nikisikia tangazo "'kinondoni uchafu sasa basi" lakini ninanchokiona hapa ni kinyume na tangazo hili: naona marundo ya taka zinazonuka katika maeneo mengi-Kawe, na sinza ni mfano tu. Naona gharama iliyotumika kutangaza bora ingetumika kuzoa taka. Karibuni tupendekeza namna ya kuondokana na zigo hili.
   
Loading...